Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,364
mi nnachoamini zawadi hutolewa kumpongeza mtu kwa kitu alichoachieve au kuonyesha tu ulikuwa unamuwaza...sasa hizi za matukio mara chrismass naona kama kuendeshwa na matukio...
Huna kawaida ya kutoa zawadi japo ya mashairi, sepa fasta
Mimi nimnunulie mwanamke zawadi, nitoe pesa zangu bank sababu ya mwanamke ambaye sio mke wangu bado...mbona kuna kazi
Wewe una kawaida ya kutoa zawadi?
Sasa hayo manuno ni ya zawadi tu au kuna mengine?
halafu wewe na hilo jicho lako ,wee haya tu!:hug:ahh mie nina karne no zawad ila mahaba.kudekezwa mia mia:A S-frusty2:
Aaaa siwezi kufikia ujinga huo, yani mwanamke akiwa mzuri sana basi naenda muoa, kama hataki wacha atafute wakumhonga Rav4 na Vits :cool2:Kaka hayo mambo ni private sana,
Unaweza kukuta watu tunaoponda hapa jamvini tunatoa Vits na Rav4 kama hatuna akili vile!!
Babu DC!!
Kaka hayo mambo ni private sana,
Unaweza kukuta watu tunaoponda hapa jamvini tunatoa Vits na Rav4 kama hatuna akili vile!!
Babu DC!!
Co-authorship inaruhusiwa?
Ningependa nitoe walau mchango wangu....
Zawadi sawa, ila sasa inaonekeana kama watu wanaanza kujisahau kabisa.....Utakimbizanaje na maua kumpelekea dada anayehangaika kupata sahani ya chips + mayai?
Babu DC
Sawa sawa kaka yaani yeye zawadi ndo bond ya relation!!!!! it seems anaacha kufanya yanayohitajika kwa mtoto wa kike instead kakomalia zawadi zawadi.......
Boss mkuu tuombe ianzishwe boyz corner ili threads hizi ziwekwe huko na sie tulopevuka tuwaelekeze wadogo zetu on how to deal with issues (not ngono) maana I see a crisis comming
To the boy; Do the needful..........hata usipoleta zawadi hutonuniwa kaaamweeee ila kama hutimizi wajibu wako utanuniwa weeeeeee hata ukimpa gari halafu likapata pancha utanuniwa...........remote ikiwa low batt atakununia....know what!!!! Kwa wanawake kununa kuna beba maana nyingi sana usiishia kufikiri ni zawadi tuuuu
mkuu wazo zuri aisee
kuna vitu vya 'msingi' na kuna 'mbwembwe'
sasa naona watu wengi wanajua mbwembwe badala ya vya msingi....
na support wazo lako aisee
I love gifts.. Mostly zile ambazo napewa in a suprise!
Lakini zile za kupewa sababu ya occassion flani huwa naona kawaida.. So inabidi umsome mtu kwanza. Tunatofautiana sana.
Ila kiongoziunajua kuna watu wanadate vianafunzi, sasa vyenyewe swaga zao ndo hizo..haijalishi chuo, sekondari au praimare...wote wanataka maua, machokoleti sijui ma nini
Mimnimegraduate huko aisee...daamn
Hivi what is the secret behind suprises!
hata kama wanafunzi
chokleti na kumwambia kuna mchele na maini apike mle
unafikiri atapenda kipi?
tena wanafunzi ndo 'unawapeleka kiutu uzima' hadi wanapenda...
mwanafunzi unamwambia aje apike mle
mwisho unamuwekea dvd ya kanumba..kwisha habari yake lol
wee ndio umekariri vibaya..zawadi ni zaidi ya kitu..hata nedno tuu latosha kuwa zawadi...sema wewe sasa ndo unachezea vijisenti vyako na kwenda kununua mi-vitu unayoijua wewe mara uishie kutimuliwa nayo...mwenzako zawadi nayotoa huwa ni kuongeza dozi ya lile tendo na ikibidi nagonga hata ndogo kama zawadi ya achievements alizofikia....
Jiongeze dogo hao hawaridhiki na maranyingi hupendelea vitu tofauti na unavyowazia...immagine bday yake unamkata denda la kufa mtu mbele ya wazazi wake full kumbambia kumbania ukutani then unamshushia happy bday honey...lazma akubali...hutoskia ukiulizwa zawadi mara maua mara perfumes mara chipi sijui ninininininiiii...
mkuu wazo zuri aisee
kuna vitu vya 'msingi' na kuna 'mbwembwe'
sasa naona watu wengi wanajua mbwembwe badala ya vya msingi....
na support wazo lako aisee