Wadada na usafi wa kinywa

Wadada na usafi wa kinywa

Ni vizuri kabla ya kuanza kubinuana,muoge wote kwanza pamoja na usafi wa kinywa.
 
Aiseee!kuna mmoja nilikutana Naye,mzuri mrembo ana chura hatari,SHIDA yake tu mdomo unanuka vibaya mno,kumwambia niona kama nitamkwaza bure, nikapiga kibishi,nikapotea mazima.akiulizia namjibu nipo safari kikazi nitakuchek!
 
Aiseee!kuna mmoja nilukutana Naye,mzuri mrembo ana chura hatari,SHIDA yake tu mdomo unanuka vibaya mno,kumwambia niona kama nitamkwaza bure, mikapiga kibishi,nikapotea mazima.akiulizia namjibu nipo safari kikazi nitakuchek!
Unamwambia tu kistaarabu hata akifyumu lakini atakushukuru kwa kumchana ukweli
 
Back
Top Bottom