Wadada na nyie mnatamani wanaume?

kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?
Haaaa sio hau au kama mlinzi wa diamond yule hapana.utakuta mwanaume hana muscles hivyo ila anavutia tu bila machuma.kila mtu ana kivutio chake ila narudia tena na si kwa ubaya wanawake wengi hawapendi mavitambi yale makubwa kama wale ambao wako bungeni wamelala[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
sawa na mimi sipendi wanawake wenye matumbo
 
Ahahahaha
 
Dah...acha ujinga bana. ulikuwa unaingizwa ndani ya chaki ili wakupige, na ndiyo style yao hii baada ya tumbuatumbua[emoji4]
 
Mkuu hukuwai kusikia kuwa hawa wa kike wakikaa muda mrefu, mfano miezi mitatu bila kumuona mwanume wanachanganyikiwa kabisa siku watakayomuona??..,,waulize wale wadada waliosoma shule za bweni za jinsia moja, hope watakuelezea vizuri kabisa ndipo utakapo amini tamaa yao ni kubwa ushinda kushinda hata ya wa kiume.
 
sawa na mimi sipendi wanawake wenye matumbo
Na hii nayo imekuwa changamoto wadada wengi wana mavitambi makubwa kushinda hata wanaume...Mbaya zaidi ukiwakuta hao wenye vitambi unakuta na mipaja mikubwa kiisi kwamba anaweza vua nguo akae hapo mbele na usione chochote maana tumbo limeshuka hadi kwenye mapaja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…