Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Ninapenda kwenda Gym na kuwaangalia wanaume wakiinua vyuma, ile kuwaangalia tu moyo burudani.
Sky kwa nini ufanye maigizo wakati mimi nipo na miraba yangu bapa tumboni?njoo kwangu nifanye live halafu unamiliki kiburudisho bila ku share na mtu.
 
Kwani hizo shule hazima walimu wa kiume?
 
aisee unakuta jamaa kaenda hewani,black flani amaizing, mwili wa mazoezi, sasa kwanini nisimtamani.
 
Kuna mda unatamani mwanaume hadi una ndi ndi ndi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa dar na wanawake wa dar kutamaniana alafu wanapiagiana kamoja wako hoi
mkuu maisha ya Dar yenyewe yanachosha! ukiongeza na gori tatu nguvu za kupiga mzigo kesho unatoa wapi?
 
Sky kwa nini ufanye maigizo wakati mimi nipo na miraba yangu bapa tumboni?njoo kwangu nifanye live halafu unamiliki kiburudisho bila ku share na mtu.
promo kali.aje apewe vitu adimu BRN[emoji12]
 
Naomba kufamishwa samahani lakini, Kwa wanaume akihisi kufanya tendo la ndoa uume husimama je kwa mwanamke nini kinatokea.
swali zuri.tusubiri majibu kwa wataalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…