zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
kweli mkuu! huwa hatujuagi ndio maana unaishia kupata jitu hata halikupendi! ukifaulu kujua hiyo body language utakula mema ya nchiUnajua kila binadamu kawekewa kutaman. Wanawake nao wanakuwa na vigezo vyao kama sisi wanaume. Unapomtongoza akakubalia jua kuwa umekidhi baadhi ya vigezo vyake.
Wanawake wanatumia sana body language katika kufikisha ujumbe. Kiukweli wanawake wanakuwa wa kwanza kuonesha hisia zao wakitupenda sema hatujui ishara boys. Kama tukijua tunatuma application fasta madai kaingia kingi. Wakat sisi ndo tumeingia king
Leo asubuhi nimepita mahala nilikuwa nanunua household items nimekutana na wadada wawili mmoja muuzaji mwingine mteja. Wameniambia maneno magumu mpaka nimetamani ardhi inimeze palepale.
Nilivaa nguo na viatu vya mazoezi. Wale wadada wameanza kunichamba! wanasema sisi tukivaa kama wewe hamchelewi kutulaumu kuwa tunawatamanisha, mbona wewe hapo unatutamanisha tunatamani tukubake! was real schocked! sikuona kitu cha ajabu kuvaa bukta na singland nikiwa maeneo karibu na home. Sijawahi waza/kuambiwa maneno kama yale na walikuwa serious.
Nimeondoka kimyakimyaa kama nimedata fulani kwa kufedheheshwa kule na kupewa kisindikizo kuwa ninakoenda niwe makini nisibakwe!
Nimebaki najiuliza hizi nyapu nazo zinawaza kama wanaume?! Wadada nao wanakuwa na hisia na mwanaume kwa muonekano na mavazi? Nakemea hili pepo kwa jina la aliyesimamisha mbingu bila ya nguzo.
Wadada tulieni msubiri application, kazi ya kutamani achieni wanaume.
halafu ukikomaa unapewa mbunye! watata kishenzi.nadhani ni kujionyesha kuwa wako marketable.Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI...
Asilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLE... HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI..
Sasa Hawa Mademu Wapo Relationship Na Nan!?
Kila mtu anachokitu cha kuvutia kulingana na tastes zake. Mwingine anapenda six packs mwingine anapenda kitambi.kwaiyo wanaume wasiokuwa na vifuana six pack kama walinzi wa club hawatamanishi?
Exactly.mwingine midevu kama OSAMA!
Najua Bro.ukiwa na hela watakuja tu.
Mkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....
Hao wanaotaka hizo specs ni watoto wa kishua na mijimama wake za wakubwa tu, nyumbani mboga tatu asubuhi mayai na masoseji akili haiwazi kitu wao uwafikishe juu ya mlima na kufanya show up kwa marafiki zao kuwa wana wanaume paki sita. Lakini wakina sepenga na kaja pamoja na kina little Eliza na wengine wa aina hiyo wanaangalia account yako inauzito gani full stopMkuu hujasikia siku hizi kila binti akiulizwa unapenda mwanaume gani utasikia TALL, DARK AND HANDSOME...Na siku hizi wameongeza and SIX PACK...So sisi wa One Pack hatuna yetu tena....