Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,164
- 2,670
Kuna dada mmoja nilimuuliza kuhusu hili, yeye alichonijibu ni kwamba wadada wengi hawapendi kwenda haja kubwa, aliniambia chips ukila mfululizo unapata choo baada ya siku kadhaa,nilicheka nikamwambia siamini hayo aliyoniambia,akaniambie nijaribu nione matokeo yake,lkn kidogo naona kama nakubaliana na huyo dada!

Mi nilidhani hujui ndio maana umeuliza kumbe una theories zako sasa baada ya kula kwa siku kadha ulipata choo? Mi nilikuwa nakula shule na chuoni na toilet kila siku.
Haya ya ajabu kabisa! Sasa kwa nini hawataki kwenda haja kubwa hao wadada? Si ndiyo afya hiyo? Ama? Chakula kinachofunga tumbo kwa siku 2 au 3 bila kwenda haja hakifai kwani constipation si nzuri kwa afya. Hivi kumbe kwenda haja kubwa wengine wanakuchukia! Sikujua.
Kuna dada mmoja nilimuuliza kuhusu hili, yeye alichonijibu ni kwamba wadada wengi hawapendi kwenda haja kubwa, aliniambia chips ukila mfululizo unapata choo baada ya siku kadhaa,nilicheka nikamwambia siamini hayo aliyoniambia,akaniambie nijaribu nione matokeo yake,lkn kidogo naona kama nakubaliana na huyo dada!
..Minda, usisahau pia kuwa wanatakiwa kuwa laini ili watuvutie. Si vizuri mtoto wa kike ukimshika mkono utadhani umeshika kigogo cha mti...Let them eat that chips mayai na vingine vyote vinavyoweza kuwafanya kuwa laini zaidi.....:A S tongue::A S tongue::A S tongue:wanaume hushiriki kuchimba kaburi na kubeba majeneza hivyo hula sembe na nyama, lakini kina dada wenyewe physiology yao inawaruhusu kuwa dhaifu kimaumbo na kwa sababu hiyo wanakula vyakula laini kama ulivyotaja hapo juu
..Minda, usisahau pia kuwa wanatakiwa kuwa laini ili watuvutie. Si vizuri mtoto wa kike ukimshika mkono utadhani umeshika kigogo cha mti...Let them eat that chips mayai na vingine vyote vinavyoweza kuwafanya kuwa laini zaidi.....:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
Kiukweli hujakosea ni 700 kwenda 800! Ila unakosa virutubisho katika mwili jamani si ndiyo? Chips mayai haijakamilika bana!Cheap version of American/western concept of fast food..
Hilo zege halizidi sh.1000/-kama sikosei.
Kiukweli hujakosea ni 700 kwenda 800! Ila unakosa virutubisho katika mwili jamani si ndiyo? Chips mayai haijakamilika bana!
Ila uongo mbaya hayo machips mayai huwa yanaleta sana gesi tumboni. Ukiendekeza kula lazima utakuwa unajamba jamba sana...