Hata kama watakukubali ujue bei ya kulala Doha tu ni aghali kabla hajabadili Ndege kuingia Ghuanzong
hutaweza mlipia usafiri wa mizigo kwenye container
msubiri tu Dar kama huna Doller au Gold
lengo hapa ni kuwachafua lakini kuwarundika wote kwenye kapu moja utakuwa hujawatendea haki. Wako vibaka na wengineo ni wachuuzi wazuri tu siyo wa miili yao ila biashara zao ingawaje ni wachache walakini ni kuwa wengi wao wanachuuza miili yao.........kama kichocheo cha biashara zao!
Wengine huwa hawana biashara moja kwan wapo wanao kwenda kujiuza kwanza,Nguo ni kigezo.Na kwa kuongezea.Hawa wasanii wa kike ndo maficho yao ya ukahaba,naushaidi ninao kwa majina.
Ooh! Hawana tatizo lolote wanawake wafanyao biashara zao China na Tanzania.
Nimeishi China na zaidi ya yote nimekuwa nikienda mara kwa mara miji ya Guangzhou na HongKong ambapo ndio masoko makubwa ya nguo hupatikana.
Wengi wanaouza miili yao huwa hawafanyi biashara zaidi ya kutumia mwamvuli wa biashara kuficha uovu wao na kurahisisha upatikanaji wa visa.