Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

hahahahaha
kila kitu fekelo
 
Ndo kwanza nasikia hapa kumbe zipo!
 
Hayo madude hata mbele huko huwa wanakosea nakumbuka Kim Kardashian liliwahi kuporomoka jukwaani hips (made of helion) lake
 
Wanaume ndo tunasababisha hawa wafake maumbile yao kwa kuendekeza ma hips. issue central tu!
 
Wanaume ndo tunasababisha hawa wafake maumbile yao kwa kuendekeza ma hips. issue central tu!
Na ''central'' (sijui polisiii....) nako kuna feki za kumwaga... Full minato ya kichina...
 
Tunamrekebisha Mungu tunaona alivyotuumba kakosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…