NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,284
kama unataka sana space, kwa nini unaingia kwenye mahusiano?
You can't eat your cake and have it.
nshamtema natafuta mtulivu tunayeendana characterhaya umeshindwa kumwambia mpenzi wako.??
nshamtema natafuta mtulivu tunayeendana character
mahusiano ndo umeambiwa message ziingie daily hadi muda wa kazi? huo sio uhusiano mzuri, infatuations zimezidi.. Kama unachat mapenzi huku unapiga kazi lazima kichwani una matatizo
Relationships nyingine inafika muda zinaanza kua ka umefungwa, mapenzi raha sawa lakini kitendo cha kutuganda tuwasiliane kila siku kila wakati inaboa, yani hamna kuachiana angalau cku moja kuweka distance kidogo ili mambo mengine yafanyike, kila muda mapenzi tu, tusipoonana basi message hamna pause zinajaa watsapp, hamna kujali ni muda wa kusaka pesa, mnataka tuchat tu, usiporeply siku nzima utasikia mpenzi umeibiwa!! take t easy girls, ka ni wako ni wako tu, na ka player hata utume txt milioni si wako huyo...
napenda space nikae nifanye mambo yangu mwenyewe, ikiwezekane tupeane hata likizo ya mwezi kabisa... sio wife yamekua hayo, mkiwekwa ndani je??
ish we vipi? mbona unajishtukia sana.. statement hiyo iko wapi mtanzania acha kupanick....mie ndo nakutumia sms? Nipishe huko, baki singo ukonsentreti vizuri.
Ungemweleza huko kabla hujaja huku halaf sio wote yawezekana upo bize humjali afanyeje heee CYBERTEQ cc.
Haha, Cyberteq sio wote wanaenda na technique hizo za kupiga simu hadi tisa usiku...Ulivokuwa unamfukuzia ulikuwa unampigia simu mpaka saa tisa za usiku, muda wa kazi we unatuma text tu, umempata unataka akupe nafasi?!!
ish we vipi? mbona unajishtukia sana.. statement hiyo iko wapi mtanzania acha kupanick....
Ulivokuwa unamfukuzia ulikuwa unampigia simu mpaka saa tisa za usiku, muda wa kazi we unatuma text tu, umempata unataka akupe nafasi?!!
nipanick kwa.meseji zako?
kwi kwi kwi, ngoja nkutafutie spaceshuttle uende walau kwenye mwezi.
:flame::flame::flame:siendi mwezini, ndo nina-land sa hvi...