Nimewamiss wadada jaman kitambo sijawaona na japo tukutane viti virefu tubadilishane maneno ya hapa na pale mung nisaidie nawasilisha hoja.
Source; hili baridi la mvua nouma
Pole yako Kama upo Dar nenda ambians au kona bar, Kama ni arusha nenda shivas au mrina annex, Kama upo moro nenda kahumba au moro night pub au itigi, kama ni Dodoma nenda chako ni chako. Maeneo hayo yanakuhusu wewe mwenye shida hio
Mmmh we ndugu yangu ni wakala ,wikipediaaa au nn Mmmmmmh ntakutafuta unipe michoro npo darPole yako Kama upo Dar nenda ambians au kona bar, Kama ni arusha nenda shivas au mrina annex, Kama upo moro nenda kahumba au moro night pub au itigi, kama ni Dodoma nenda chako ni chako. Maeneo hayo yanakuhusu wewe mwenye shida hio
G & D ndioo wapi ukoo npo sinza sasa
G & D ndioo wapi ukoo npo sinza sasa
Wee mlugaluga una hamu ya kuingizwa mjini eeh.. elewa dsm ni tofauti na kwenu maswa!