stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,752
- Thread starter
- #21
Ukitaka kujua mnajiendekeza, mbona mkipenda hamuwi na mizinga. Mnaridhika.Hutaki kuombwa we nenda kadate huko western but here in Africa baby pesa mbele
Mnalalamika pesa yenyewe kusuka tu labda laki au elfu hamsini hivi kama hiyo ikikushinda ukioa mkeo atakuwa na mabutu kichwani mwanzo kumuona mzee
Wengine mnakuwa hamtaki hata pesa ya huyo mwanaume mumpendea, hamuombi hata kidogo
how i wish ningekuwa nina kiroho cha kupiga vizinga.
