stritglow
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 622
- 1,752
Nakiri kupandisha huu uzi baada ya kuona my fellow men wakilalamika, halafu wadada wanakuja kujitetea na sababu zisizokuwa na mashiko.
Hivi nyie na mizinga hamuoni aibu. Kila saa kuomba omba pesa. Halafu unakuta mtu anasema mara sijui ni wajibu wake n.k
Ukisema ni wajibu wake maanake ni lazima, kiasi kwamba mtu asipofanya hivyo basi anakuwa amekosea sana.
You gotta stop it with that entitlement shit. Acha mtu akufanyie vitu kwavile kapenda na si vinginevyo.
Kwanza mizinga inageuza relationship kuwa more transactional. It's not supposed to be that way, unless you're hooking up with a prostitute.
This is why I like wadada wa western au waliokulia katika western culture, huwezi ukakuta eti mtu anasuka message yenye maudhui ya kukuomba pesa. Sure mkitoka out, you might be the one paying. Yes, you might buy her gifts pale unapopenda. Lakini eti yeye mwenyewe kakaa anakupiga mizinga, rarely if ever. Personally I have never experienced that.
You're both having fun, that's all that matters. Hivyo vingine ni extra tu. Let someone spoil you on their terms.
And with that being said I leave you with this.