Kama wa ibada basi huyo upendo hakuna, yaani hana hisia na wewe, anaforce tu labda kwa kuwa kuna favor fulani anapata kutoka kwako na anahofia akikunyima ataikosa, narudia tena kusema mwanamke anayekupenda atakupa shoo hadi wewe ndo uwe unakimbia uwanjani