Wadada: Mnapenda tamthilia za Kikorea zinawandisha nini?

Namge

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
1,410
1,894
*Nimeangalia tamthilia ya Kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*

Mkinuna poa tu ndo nishasema.
 
akina jumong ni ma "dume suruali" , sie wanaumme wa dar tusipo ombwa pesa na mademu zetu tunanuna/tunasusa.
 
*Nimeangalia tamthilia ya Kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*

Mkinuna poa tu ndo nishasema.
Au cyo
 
Back
Top Bottom