Huyo inverted triangle kama funguo ya gereza loh hapana kwakweli yaan mimi ndo nnaposhangaa unakuta mwanaume mkuubwa juu bado ana nyanyua chuma na kupiga push up nyingi sijui wao huwa wanajionaje katika umbo hili la namba moja kushoto khaaa! bora rectangle
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.