Japo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini