MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Kati ya waliozungumza wewe UMENENA kaka!!!Ushauri wako ni muhimuNa hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Nimeuelewa huu ujumbe kuliko unavyofikiria weweNa hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Dah! Wakiona hivi basi balaa tupu, unaeza filisika eti!!Yani mpaka wake za watu Gari unawagegedaaView attachment 381201 Lamborghini Baby
point mkuuNa hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Hayo ndiyo malengo ya mhusika lakini Mwanamke kwake ni tofautiHawana chochote na magari.
Ni vyombo vya kirahisisha usafiri tu
Sawa mkuu, ila kama umesoma post yangu vizuri utanielewa kua sikununua gari kwa sababu ya kupata wanawake bali tangu utotoni nilitamani kumiliki gari na ndicho kilichotokea kwangu,Na hichi kinachowatia vijana wengi umasikini wa kiakili na kimwili........yaani kila siku kijana unakuwa mgeni wa nyuchi za wanawake........mpaka unalazimika kuishi kwenye mitazamo yao na kuwaridhisha wao.......
Sasa sijui siku wanawake wakianza kuvutiwa na wanaume wenye makalio makubwa na wewe utaenda kujidunga shindano....ili uendelee kuwapata na kukidhi haja zao......
Vijana jitahidini kuishi kwenye mistari yenu ya maisha......pia msitpanye fedha kwenye mambo yasiyo na tija.....bora kuwekeza kwenye miradi ya muda kwani wakati ni ukuta na ujana ni maji ya moto......
Kikongwe haha Me ntakuja tupige Misele aisee Vikongwe safi haha justHongera kwa kuwa na gari, sie wengine vikongwe swali halituhusu.
Mwanaume mwenye vigezo?? Si pamoja na hali yake kiuchumi sasa!!!Ni ulimbukeni wa wadada. Siku zote kile usichokuwa nacho ndicho unachokitamani. Wadada wengi familia zao ni hoe hae, unaweza kukuta baba yake hata baiskeli hana, kwahiyo akiona unamiliki gari lazima akupapatikie hata kama ni gari la mkopo yy ataamini fedha kwako zimelala. Binafsi mwanaume mwenye gari hanibabaishi, ila yule mwenye vigezo navyohitaji haki ya nani wallah silali kwa ajili yake.