Karot
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 1,159
- 1,312
Sister: Mambo vipi bby
Brother: Poa mrembo hujambo?
Sister: Sijambo bby.
Sister: Bby mara hii nataka pale hostel niwafunike wote.
Brother: Hamna shida bby Mara hii ntakununulia turubai kubwa sana naamini litswafunika wote.
Sister: nyoooo! Kwenda zako, namba zako nafuta na usi itafute hata kwenye sanduku la posta.