Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,286
- 4,603
Dah hii yote kutaka mtu aonekane kaanzisha uziHauna tatizo la uzazi mna watoto mna pendana wala hamkuwa na shida ila kaongeza nje huko... Mtuambie kwenu ingekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe mkeo akizaa nje inakuwaje kwako?Hauna tatizo la uzazi mna watoto mna pendana wala hamkuwa na shida ila kaongeza nje huko... Mtuambie kwenu ingekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimlaumu mleta uzi kachapiwa hadi mimba. So stress zinmmaliza mpaka ameshindwa kuweja uzi vizuriHakuna uhusiano kati ya title na Uzi wako.
Title nilidhani hapa ndani nitakutana na kichambo cha kutosha ila matokea yake sasa .....
Ingekaaje kwa mke au mchepuko aliyezaa na mume wa mtu?
We chali kuchaopiwa mpaka mimba si mchezo jaribu kumwelewa mleta uzi
Kitanda hakizai haramu. Alisikika Mzee mmoja wa miaka 70 aliye kunywa gongo !.Hauna tatizo la uzazi mna watoto mna pendana wala hamkuwa na shida ila kaongeza nje huko... Mtuambie kwenu ingekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna uhusiano kati ya title na Uzi wako.
Title nilidhani hapa ndani nitakutana na kichambo cha kutosha ila matokea yake sasa .....
Ingekaaje kwa mke au mchepuko aliyezaa na mume wa mtu?