Sawa kabisa,
tena Junior Cux, Platozoom na Bishanga wanaongoza,
na hivi wana nyumba ndogo za kumwaga,
basi balaa tupu na hekaheka za kupigana vikumbo Manjiani.
Unafikiri mtoto wa mjini anapatapata Mimba hovyo?
Mamndenyi kamtorosha mwanae ili asinioe.
.....yote kheri...!!!
Nipe mdogo wako wa kiume kama unae nimlee kwangu.