wadada mkoje nyie? Mbona mnashindwa kujiamini


Mwisho wa siku unachotakiwa ni kutoa ushauri, hutaki/huna ambaa!!! Wewe kama umekuja kusoma mtu flani yuko hivi ama vile, au alishawahi patwa ama kufanya jambo flani.......pole yako!!! Kwa nyongeza tu kama we umekuja kuchora wenzio.......IMEKULA KWAKO!!! Utapepesa sana macho jombaaa!
 
hapa suala kutumia third party ni la wote
wanaume na wanawake....
na mimi sioni tatizo lake....
 
Hivi utamjuaje kuwa mleta mada ni msichana au mvulana? Hapa cha msingi ni kutoa ushauri kwan hata akisema shost yang au ndugu yang kuna tatizo gani? Mi naona cha msingi ni ujumbe kufika au siyo wapendwa"
 
mbona unalazimisha nione tofauti na hali ilivyo, siyo JF tu hata ktk maisha ya kawaida..naona ushajiwekea mipaka ya kufikiri.

uhalisia ni kwamba, hilo jambo linafanywa na wote wanaume na wanawake!!! Kazi kwako we unaejifanya kuwadetermine!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…