Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Inahusu nin??? Aliyesoma naomba muhtasari mwenzio.
Inahusu nin??? Aliyesoma naomba muhtasari mwenzio.
Apologise lady mambo vipi,nilikuwa nakusalimia tu.
Poa my dia. Mi nikajua umekuja na muhtasari
Vizuri sana kama upo poa my dear,mtoa maada anaanisha kuwa kwa nini wasicha huwa hawakubali pale wanapongozwa mpaka wazungushe kwanza!!!!Nanukuu
Okey!! Mwambie awe anatongoza huku amefungua wallet, hatopata usumbufu huo tena
Hahaha Dah
Ndiyo dawa yenu,yao siyo
Ndio yatuuuu, hahahahaha!!