Wadada mje mjieleze niwaelewe

Wadada mje mjieleze niwaelewe

Mkuu inavyoelekea yule bint wa mwanzo alikuwa hakupendi ww bali alikuwa anapenda misaada yako,pia mkuu inaelekea we bado limbuken wa mabinti,jaribu kuwazoea hao wapo tu.
 
socket nmependa kibwagizo chako "Matatizo ya hapa na pale" 😕😕😕
 
Last edited by a moderator:
Mademu wajanja huwa hawapendi kushobokewa sana na pia wanataka mtu anayejiamini asiesubiri assurance hata kama mwenyewe ashakupenda pia,hilo tu...Kwa story yako apo juu unaonesha ulimuonyesha udhaifu huyo binti wa kwanza kwamba umempenda sana kwa jinsi ambavyo umembembelezea akukubalie na ukawa unaulizia jibu kila saa akaanza kukuona wa ajabu...
Kilichomfanya arejee kwa kishindo ni baada ya we kuonyesha less interest ingawa ulishamwambia unamtaka,utashangaa kwa nini imekuwa hivyo ila ndio hao viumbe walivyo katika saikolojia ya mahusiano...
Sasa weka hili kichwani,siku nyingine uelewe hili ili kumpata demu yoyote mkali jiamini kwanza af mueleweshe vizuri juu ya nia yako,akishaelewa vizuri tu anza kutekeleza nia yako kwa vitendo...Usisubiri majibu!!! Wanawake wengi wa kileo hawatakupa jibu la moja kwa moja badala yake watakupa ushirikiano tu katika utekelezaji wa nia,Kinyume na hapo utasubiri sana upewe jibu huku unahonga au kupotezewa mda na wenzio wanapewa tu.
Huo ndio ushauri wangu kwako mkuu socket
 
Last edited by a moderator:
Tatizo na nyie wanaume tunashindwa kijua lama upo real au ndo walewale
Ndo mana tunashindwa kuelewana
Mapenzi kweel ni shida
Mpaka umjue mtu sahihi
Utapita na weeengi
 
Before sijamaliza chuo niliona sio mbaya na mimi niondoke na mtu (mchumba) na nilikuwa serious kabisa
Basi nikaanza mchakato na nikakutana na binti mmoja kwa kweli ni mashaala kajaaliwa mtoto kalio kweli miguu hiyo ila kifuani ndio bado hajapevuka vizuri mwaka anaosoma nahifadhi na chuo.

Basi alikuwa na matatizo ya hapa na pale nakwakuwa nilijua yuko single nikaona hiyo ndio opportunity ya kutumia nikawa najali mno na mtoto akanielewa na alijua na mimi niko single.

Maisha yakaenda tunaonana mitaa flani ila huwa tabia ya kusalimu watu basi nikawa nakausha ila yeye hata kukiwa na watu basi atanikimbilia na kunipa Hi.

Mida ikawa inaenda nikaona sio pouwa nisimuambie kuwa nampenda basi nikamuambia siku hiyo usiku kwa simu maana tunaheshimiana na nikijua hatakataa basi jibu likawa ni kuwa kwa sasa hayuko tayari kwa kuwana relation na mtu.Nikaona sio mbaya ila alinisihi sana nisiache kuchat nae maana amenizoea na kweli tulikuwa tunachat sana may be kesho kuwe na test au discussion ndio usiku huo tutachat kidogo.

Baada ya kama wiki kadhaa nikamtumia tena text akaniambia flani si nilishakuambia kuwa siko tayari kwa sasa daaah nikaona hizi aibu siziwezi like mtoto kwamba sikuelewa basi nikauchuna sikumtafuta siku 2.. ..3 siku hiyo akaniona akanifuata tukapeana Hi akiwa anatabasamu mimi nikawacool tuu

Baada ya hapo baadae nikamtumia text vipi unaendeleaje yeye akajibu siku hizi namchunia hata sichat nae mimi nikamjibu kawaida napambana na Project mwaka wa mwisho huu.

Baada ya kimya cha mda siku hiyo akaniambia anaomba tupate lunch ila mm nilikuwa mbali na chuo sikuweza but akaniambia inamaana naweza ondoka hatujawahi kukaa na kuongea chochote nikamuambia ndio inawezekana na nikampa na ratiba ilivyobana akasema pouwa

Ila coz alikuwa na matatizo ya hapa na pale nikaona sio pouwa ataona nilikuwa siko serious nikwa karibu nae na alijua nampenda kiukweli ila kwenye kutoa jibu ndio tunapishana kuna vitu nilikuwa nimemuomba sasa siku hiyo asubuhi nikamwambia naenda room kwake ila akaniambia ukija umpe flani hapa room kiujumla nikaona kweli hana mpango hata wa kuniona wakati mm huwa namjali na wakati alikuwa kaenda toilet nikwa na maswali mengi kwanini asinisubiri akanipa vizuri.

Basi nikaona nalazimisha kupendwa nikagoma kwenda nikamjibu tuu vizuri kuwa nimeghairi but baada ya muda akaniambia sorry ila sikwenda maana kuomba kitu marambilimbili huwa sipendi ila niliumia sana.

Jumamosi kuna kabinti nirafiki yangu naye nilimpendaga ila alikuwa hajibu nikimtafuta basi nilishampotezea siku hiyo nilishangaa ananiaga na mm nikamtakia safari njema ila akasema but still hajaondoka maana wote tulikuwa tuko hosteli za karibu basi nikamuambia je naweza kwenda kumuuaga akasema ndio tupange wapi tukutane mimi nikamwambia njoo room kwangu ila akagoma.

Basi nikamwambia akiondika nimpeleke mpaka stand akakubali but sikufanikiwa maana kumbe tungekosa mda wa kuongea basi nikaona napoteza resources maana alienda kwanza kea ndugu yake ili kesho aanze safari.Baadae nikamuomba kuomba kuonana nae but alisema kwani kuna umuhimu si hata kwa simu nimueleze basi nikamueleza nia ya kuwa nataka kuwa nae.

Mmmmmh alipanic sana akasema nikweli kulingana na ukubwa wa jambo tuonane basi jioni nikamfuata kitaa kwao akinisubiri nikarusha mistari yangu kuwa namuhitaji na nini ipale akasema hayuko tayari maana hakujipanga kwa hilo mimi nikamwambia basi ni wazo atulie na akiona nafaa anipe jibu tukaongea mengi ila alionesha kunijali sana maana tunaheshimiana pia tukaagana pale japo akiwa anadai haniamin kama nataka kumchezwa au laaah kiukweli mtoto ni mzuri na hajawahi kuwa na mtu nadhani umenielewa.

Basi usiku wake wa jumamosi hiyo ilikuwa usiku yule dada aliyekuwa anadai hayuko tayari akaniita mimi nilishagive up basi nikijua hapa ni urafiki tuu sikuenda nikajua nikupotezeana mda tuu kama ni jibu angenijibu kwa simu tuu nijue amekubali nikamuambia kuna baridi sana ila pia nakwepa maana kule nilikotoka nilijua tuu atakubali na sikupenda kuwa na mabinti wawili isitoshe wanajuana kiasi.

Siku zikaenda ndio nikajakujua kumbe hiyo siku aliyoniudhi na kusababisha nidate na huyu mwingine alikuwa kwenye siku zake so alikuwa hayuko sawa kwa mujibu wake.

Baada ya siku 4 yule wa pili akakubali ombi langu tena kwa kunipigia simu na kuniahidi kuwa amekubali na hatapikea maombi ya mwingine (hapo wote wapo kwako chuo kimefungwa na mimi nimemaliza) nilimshukuru na safari ikaanza hapo na binti Bikira although hata yule wa mwanzo nae alikuwa Bikira nasema nikiwana uhakika coz status zao ni nzuri sana chuoni.

Shida ikaanza pale alipoanza kuonesha na kushindwa kuficha hisia na kuniita Honey, Sweet heart na kuwa ananipenda pia ila coz nilikuwa na mtu tayari nilikuwa namjibu kuwa kama tulishindwa tukiwa chuo je now tuko mbali je itawezekana maana uaminifu utakuwa low but nia yangu ni kumkatisha tamaa.

But aliendelea maana alushanizoea ikafika kipindi nikaona ataumia zaidi mda ukienda na akijua kuwa nilikuwa na mtu tayari so ilibidi ni wambie kuwa nina mtu wakati wa story za mahusiano but hakuamini maana ilikuwa ni mapema mno but akawaananiambia kuwa ananipenda na ananimiss sana.

Sasa swali huwa kwanini wadada hamko serious wakati mtu akiwa anamaanisha au kwa sababu tunawaambia hakuna kama wewe na wewe ndie umejaza moyo wetu na ndio mnaamua kutuumiza hamjui kuwa tunachoka na haya maisha ni kama tunasogezana tuu.

But ndio mnaona ndio opportunity yenu kumsumbua mtu hali mnaona amekusudia but wazuri ni wengi ndio maana hata kwenye kutengana kesho unakuta mtu anamwingine na anamuambia maneno yaleyale na kubaki kusema wanaume ni watoto wa baba mmoja.

bila shaka utakuwa umemaliza certificate tena teku,kwa uandish huu huwez kuandika hovyo kiasi hichi
 
Back
Top Bottom