Wadada makwapa hayo

ukizingatia usafi wa hayo makwapa ni zero yaani kuoga yenyewe mbinde hadi uwekewe chipsi nafuni#hayo manywele a makwapani yamechachamaa kama sill wire#halafu bado mnajipulizia mapafyum na mabodyspray na hili joto la dar#hiyo harufu inayotoka hapo ni zaidi ya ushuzi na mzoga#

aaahhhhhhh! Ptuuuuuuuu! Wanawake mbadilike bhana#
 
Wambieni na wanaume wachafu pia wabadilike,,nao wananuka kama nini.
 
ha ha ha ha ha ha#ulishawahi sikia harufu la kwapa lililopakwa mkorogo weye?#linanuka zaidi ya vyoo vya stendi#tena linamarangi rangi ya ajabu kama kutu vile#
 
kwa deodorant bei gani?

ila wanaume ni zaidi kwa uchafu
 
Wambieni na wanaume wachafu pia wabadilike,,nao wananuka kama nini.

Mtoto wa kike una jifananisha na mwanaume kwa uchafu? aisee haya majanga sasa mwanaume hata asipo oga siku tatu anakua poa jaribu wewe kushinda kutwa nzima haujapitisha maji mwilini uone kizazaa chake.
 
ila nyie wanawake komesha#mwanamke mkwapa unamaramani ya michirizi ya jasho la tangu wiki iliyoita!

kaaah! Jamani mwanamke gani anakuwa na jasho la wiki? Inamaana hatuogi? Acha kuongeza chumvi basiii.
 
ha ha ha ha ha ha#ulishawahi sikia harufu la kwapa lililopakwa mkorogo weye?#linanuka zaidi ya vyoo vya stendi#tena linamarangi rangi ya ajabu kama kutu vile#

Hahahahahahaaa...... Sasa mkorogo kwapani si kujitafutia matatizo tu! Mkorogo na joto wapi na wapi lazima kwapa licheue!!!!!!!
 
Hahahahahahaaa...... Sasa mkorogo kwapani si kujitafutia matatizo tu! Mkorogo na joto wapi na wapi lazima kwapa licheue!!!!!!!

mmmmh!! hii nayo imo??? kaaazi kweli kweli
 
hiyo himo mbona! We mtu anayetumia mkorogo akipigwa na jua tu ananuka sembuse joto la kwapani

Duuuuh! hii ndio naisikia leo, sasa kama ni hivyo kwa nini mnang,ang,ania karolaiti?
 
Unabisha nini na wewe usitake kuzuga kwani hapa umeona kibao chochote kimeandikwa 'twaongelea wanaume...'
Tena huwa twawasitiri tu...unakuta mwanamke ana kwapa jeusiiiii kama kaangio la chipsi dume...halafu huku pembeni pembeni sasa sijui ule ni ukurutu kama masizi ya kibatari...

Yaani ningekuwa na uwezo ningeiomba hata serikali iwajengee vituo maalumu vya kuyasugua na kuyasafisha hayo makwapa yenu...msije pata kansa bureee

Wambieni na wanaume wachafu pia wabadilike,,nao wananuka kama nini.
 
Teh teh teh teh kwih kwih kwih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…