Wadada makazini jamani mtatuvunjia ndoa

MadameX, sio kumsingizia, sema alimkaribisha shetani mwenyewe- Tunaambiwa IKIMBIE ZINAA! yeye aliikaribisha "zinaa".

Mimi naona shetani wawili @ work...kwanini dada abebe majukumu peke yake
 
hapa napita.........how come hujamweleza mipaka ya izo msg na malove davie yake? hivi akikupa utakataa?
 
Mimi naona shetani wawili @ work...kwanini dada abebe majukumu peke yake

You are absolutely right. Lakini huyu mwanamume ndiye kalalamika na katoa ukweli kuwa anambusu, bega kwa bega, lunch etc! Tunamhukumu kwa kauli yake. Aliikaribisha zinaa mwenyewe! I never entertain such movies! Vipo sana makazini humu- Wanawake kwa wasichana vituko vitupu! Sijui wewe mrembo, hopefully you are not one of them!
 

we ungekuwa mkeo na mkeo angekuwa wewe ungekubali? au na wewe mkeo akianzisha utani na bosi wake huko kazini kama huo wa kutumiana meseji usiku na majina majina we utakubali?
 
umekuwa ukifurahia mabusu na mgs kutoka kwa officemate halafu saa hizi unajitoa ufahamu na kuwalaumu wadada. elewa kuwa umeshaingiza mashaka ndani ya ndoa yako. huyo mke hawezi kukuamini tena, atakuvumilia tu. hivi huyo mdada angeamua kukupa hicho kitu special for you kwa bed ungekataa kweli? umeshazini naye kimawazo. mkeo ana haki zote za kuchukia hata zaidi ya hapo. I hate cheating with all my strength and soul!
 
Aaaah bana embu kuwa mkwel c ndo hyo hyo anbaye milikuwa mkipeana mabusu ss ulikuwa unategemea nn,ungeuanza ustrict tka kitambo ndo tungekuelewa,too bad fo ya n ur wyf too coz amepata mume acyejielewa
 

Wewe kweli kiroboto
 
Kumbe unapenda mazoea ya aina hiyo maana naona tatizo lako ni muda tu aliowasiliana na wewe!!
 
na wewe uwe unaangalia unamzoea nani considering wewe ni mume wa mtu na mazoea yawe na mipaka
 
Huyu hamna ushauri wa kumpa hapa. Ni bakora tuu.
 
Humtendei haki mkeo hizo sweety na mabusu yanini?inaonekana unafurahia siku akikufuma mkeo lazima uingie hasara kumrudisha ndani kama ambavyo ulimuingiza kwa shida.
Acha uzinzi
 
Hiyo part ya lunch bega kwa bega na kisses kwenye gari ilikuwa part ya utetezi wako kwa mkeo?
Kama ndiyo na bado mamy akaelewa basi mkeo mstaarabu sana,ulitakiwa upate mke ambaye kichwa chake kinapata moto mpaka kesi ikiisha umeshaongea lugha zote kuomba msamaha na ungejua tofauti ya officemate na mke!
 
Humtendei haki mkeo hizo sweety na mabusu yanini?inaonekana unafurahia siku akikufuma mkeo lazima uingie hasara kumrudisha ndani kama ambavyo ulimuingiza kwa shida.
Acha uzinzi
Mkuu well said !! yes Bi Shinning Star Hongera ...Je vipi vote iliishaje!!
 
hapa napita.........how come hujamweleza mipaka ya izo msg na malove davie yake? hivi akikupa utakataa?


Pita tu Kaizer maana leo naona uko slow,watu wanaagana kwa kisses kwenye gari halafu unauliza hilo swli tena?
Huyu amelikoroga alinywe tu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole. Ujue kuwa kinadada siku hizi wanapenda sana wanaume wenye ndoa.

Ambao hawajaoa wanaboa. Wewe ulikosea mkubwa. Huyu mdada ungemtaarifu muda wa kukutext.
 
Mh! Huyo ni dada wa kazni au small hauz yako?
 

Mkuu, hapo umekosea na tayari uneshamcheat mkeo hata kama hujafanya tendo la ngono na huyo dada. Huyo dada japokua anatambua kua unamke lkn lengo lake ni kukupata kama mpenzi wake. Ushauri, vunja mahusiano hayo ya kimapenzi na huyo dada. Heshimianeni kama kaka na dada na urafiki wenu udumishwe kama kaka na dada. Utakua huru sana hata mbele ya mkeo
 
Mtu umemuendekeza mwenyewe halafu unataka kumlaumu?

Kwa nini hukumwambia wewe mme wa mtu na hutaki utani tangu mwanzo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…