Wadada kwanini mnatuvalia hivi jamani!

Mimi boksa huwa inanitoshaga home tu, nikianza kukutana na hao watu yaani boksa inanibana nahisi kama nimevaa ndogo sana mpaka mishipi inauma.
 
Dah hapo sasa kama hujagegeda mda mrefu,utaona mashine inasisimka taratibutaratibu
 
Candid Scope unajuaje ndani wamevaa kitu?

Wangevaa kile kinachowalinda kimaadili na kiutu isingelalamikiwa ndio maana wanahangaika kukirudisha kipande kikae sawa kikipeperushwa na upepo. Uvaaji wa chupi huwezi kutueleza kwamba uvaaji umekamilika ndio sababu hiyo inaitwa nguo ya ndani.
 
Hivi ina maana kila mwanamke akipita mbele yako, umesha mjadili moyoni mpaka kujua kavaa pichu na kitenge tuu? Sasa ukipita karibu na bafu la uswazi weye miguu si italegea ukiona kufuli na khanga imetundikwa kwenye mabox huku maji ya sabuni yakitiririka?
Mjini ukihangaika na watu huendi mahali
 

Utakuwa unaishi mitaa ya uswahilini. Pole sana. Biashara matangazo.
 
nikienda dukani
au gengeni

ila ndani nabakigi na nguo moja tu

ILE INAKUAGA YA KWANZA KUVAA UKITOKA KUOGA
Interesting...
1. Unakaa na nani?
2. Wewe na huyo kwa avatar yako mmefanana kwa asilimia ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…