Si maumivu ya kawaida uliyo yazoea. Ni maumivu ya ndani kwa ndani ndani ya moyo. Ni aina ya mshtuko mwanaume anapata pale anapo kutana na kitu ambacho hakutarajia. Mf. Maziwa, mgongo kiuno makalio na mapaja ambayo hayakusitiriwa barabara, mwanaume wa ukweli ata shake kdg. Upo?
Habari za jumapili wapendwa!
Najua hata kwenu wapo hawa wadada!
Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi tunakutana na wadada hawa wanaenda sokoni, dukani au kuchota maji wakiwa na dizaini ya huu uvaaji. Tena wanapita mbele za watu kabisa! Kiupepo kikiipuliza kanga kidogo anaanza kuhangaika kuirudisha! Mmmh wengine huko nyuma ni balaa halafu kavaa vile, acheni izo bana mnatuumiza wenzenu bana acheni basi kwanini mnapenda kuvaa ivo lakini?
Unataka wachubuke na joto
Pia wanabana matumizi ya nguo nying kuchakaa kwa wakati mmoja
Habari za jumapili wapendwa!Najua hata kwenu wapo hawa wadada!Wana mvao fulani wa kuvaa kitenge tu na PICHU hasa wakiwa katika mazingira ya kalibu na nyumbani na shughuli zao, mara nyingi tunakutana na wadada hawa wanaenda sokoni, dukani au kuchota maji wakiwa na dizaini ya huu uvaaji. Tena wanapita mbele za watu kabisa! Kiupepo kikiipuliza kanga kidogo anaanza kuhangaika kuirudisha! Mmmh wengine huko nyuma ni balaa halafu kavaa vile, acheni izo bana mnatuumiza wenzenu bana acheni basi kwanini mnapenda kuvaa ivo lakini?
Joto bana hebu mtuache....
Si maumivu ya kawaida uliyo yazoea. Ni maumivu ya ndani kwa ndani ndani ya moyo. Ni aina ya mshtuko mwanaume anapata pale anapo kutana na kitu ambacho hakutarajia. Mf. Maziwa, mgongo kiuno makalio na mapaja ambayo hayakusitiriwa barabara, mwanaume wa ukweli ata shake kdg. Upo?
hii dunia haki ya nani sijui kwa nini kuna mwisho wa kuishi?
sijaona image imecollapse
hahaha haiwezi wazoefu wanajua kuzikaza vizuriiiangalia isije dondoka siku moja
nikienda dukani
au gengeni
ila ndani nabakigi na nguo moja tu
ILE INAKUAGA YA KWANZA KUVAA UKITOKA KUOGA
Na sisi tutaanza kukaa vifua wazi