Ndo hivyo. Usilazimishe au kumpa pressure mwanamke aolewe, mwache mpk siku atakayoona yupo tayari, hivyo vigezo vya mtu amtakae ndo kitu anachopenda na hakuna tatizo maana kila mtu ana vigezo vyake.Mtoa mada alikua anazungumzia kwa ujumla kwamba wadada wengi awaolewi kwa utafuti wake lakin kunakitu tunasema maamuz ya moyo huwenda wadada hawa bado hawajaweka maamuz ya kuolewa lakin kwa upande wenu na mlivyo kuna mambo ukiyangoja yanweza kukuchukulia muda mrefu usiolewe mfano moyo unataka uolewe na mtu mweupe,mrefu, jiulize je mtu wa namna hiyo yupo kwa ajir yako kumpata shida so ukingoja utakaa mpaka ghara la nyumban litaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
BoraKwahali ilvo acha wasiolewe tuu mana anaweza olewa na mwisho wake apata stress za kufa mtu
Acha wakae home tuu [emoji45][emoji45]
Waliotakiwa kuoa wanaolewa siku hiziWaoaji wamekwisha
He heee hebu waambie.Waliotakuliwa kuoa wanaolewa siku hizi
Ndio nishawaambia ngoja ni ya boldHe heee hebu waambie.
Mke mwenza mchokozi, mi simoooNdio nishawaambia ngoja ni ya bold
now days wanaotakiwa kuoa wanaolewa wao wanatuacha Dada zao majumbani.
Sasake mwenza unadhani naongopa,Ndio ukweli huoMke mwenza mchokozi, mi simooo
It tells something, sio bure.Hizi thread za wanawake kuolewa zimeshamiri kweli kwa kasi ya 5G..
KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE..
Waache waoaneSasake mwenza unadhani naongopa,Ndio ukweli huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nishawaambia ngoja ni ya bold
now days wanaotakiwa kuoa wanaolewa wao wanatuacha Dada zao majumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkishatuoa mnatufanya nini?
Hahahaaa!!Waliotakiwa kuoa wanaolewa siku hizi
mkishatuoa mnatufanya nini?
Usicheke espy ukweli Ndio huoHahahaaa!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi kuolewa lazima? Na bora hata huyo muoaji awe anaeleweka wanaume wenyewe wameweuka asilimia kubwa wana tabia ya kivulana ... Unaishi na mwili mkuuuubwa akili ya ben ten yaani nilee mtu mzima si bora nifanye maisha yangu kwanza .... Wengine ndoa ni option tu msitutanie ... Ndoa imekua ndoa pyeee