WADADA kwa nini hampokeagi simu?

Hawapokei kwa sababu wanajua mnataka kuwaomba hela.
 
Mkuu, simu zingine zina record kila missed call, nina maana hi, mfano ulipigiwa then huku pokea and you didn't even attend it soon after seeing it, uka text mtu au ukampigia mtu mwingine na au hata ukapigiwa na mtu mwingine na ukapokea simu yake, then ikapigwa simu nyingine hukupokea, itaonesha na ile ya kwanza kwamba you have 2 missed calls, so hiyo print screen hapo yawezekana ni mrundikano wa simu za watu tofauti na siku tofauti pia, assuming hakutoa battery.
 
Wadada wakiwa wanafua wanaacha simu ndani
Akiwa anaosha vyombo anaacha simu ndani
Akiwa anapiga soga na shostito anaacha simu kwenye mkoba
Akiwa anaangalia tamthilia anaweka simu chaji na kuiacha huko chumbani

Hawa watu ni vurugu tu!
 
Hebu mtumie kwanza Tigo pesa,Airtel money au M-Pesa halafu upige uone kama hapokei.
 
Una uhakika gani hiyo simu ni ya mdada
????
Kwanza hapa ofisin wadada mara nyingi hapa ofisin tunapigiwa wanaume kwamba kwa nini fulani hapokei simu mwambie anipigie...kuna mdada flani kila siku anapigiwa simu toka hm kwao kupokea kwake ni mara chache sana hadi sisi ndo tunapigiwa afu tunam-mind anaishia kucheka tu, na mwenzake naye ni hivohivo sema yeye hapigiwi sana...sasa usiombe imetokea ishu ofisini halafu unamuhitaji hapo ndo utakoma...utachoma mafuta kumfuata kwao...hiyo ni moja tu hata Boss akiwa nje ya ofisi akimpigia mdada imekula kwake itaita tu mpaka ikome...ukituma msg anajibu baada ya lisaa eti sikuskia simu...mwemwemwe wadada...
 
Wadada wakiwa wanafua wanaacha simu ndani
Akiwa anaosha vyombo anaacha simu ndani
Akiwa anapiga soga na shostito anaacha simu kwenye mkoba
Akiwa anaangalia tamthilia anaweka simu chaji na kuiacha huko chumbani

Hawa watu ni vurugu tu!
Mkuu kweli umenena...hata wife ukimpigia anakucall back baadaye sana eti simu ilikua chumbani...hahahahaa,wakati mwingine mtu unakasirika hadi unacheka
 

hahaaaa mi nimewahigi kukuta mis call 21 hadi nikashtuka.......

mara 2/3 inatosha mtu akiiona na akiona umuhim anakuendea hewani tu
 

Duh... MIe wa tofauti sana. Naipenda simu yangu mpaka najichukia kutopokea ni sumu aisee!
 
Mabaibui yetu hayana mifuko kutembea na simu kila mahali!
 
ustaarabu ukipiga mara mbili hujapokelewa kaa kimya huenda muhusika uko bizy kidogo atakutafuta kwa muda wake..

sasa ukute mpenda ugomvi atakukeraje kwa kupiga kila saa ..!!!lol.!
 
Nikimpigia mdada simu na asipopokea angalau kwa mara kadhaa, huwa naangalia umuhimu wake mwingine tofauti na papuchi... Kama hana umuhimu tofauti na Kei huwa nafuta delete kabisa namba yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…