Mkuu, simu zingine zina record kila missed call, nina maana hi, mfano ulipigiwa then huku pokea and you didn't even attend it soon after seeing it, uka text mtu au ukampigia mtu mwingine na au hata ukapigiwa na mtu mwingine na ukapokea simu yake, then ikapigwa simu nyingine hukupokea, itaonesha na ile ya kwanza kwamba you have 2 missed calls, so hiyo print screen hapo yawezekana ni mrundikano wa simu za watu tofauti na siku tofauti pia, assuming hakutoa battery.Tu assume kwamba kupiga simu moja iite mpaka ikatike ni dakika moja na nusu(1.5min).
Kama huyo mpigaji simu ni mmoja na alipiga kwa kufululiza bila kikomo, calls 973 itakuwa dakika 1.5 * 973 = 1460mins
Dakika 1460 ni sawasawa na masaa, 1460/60 = 24hours ambayo ni sawa na siku moja nzima
Kwa assumptions hizo(to the maximum) huyo mtu atakuwa ametumia kwa kikomo cha siku nzima asubuhi mpaka asubuhi kupiga simu, hajapumzika hata kidogo yeye ni bandika bandua.
Kwa sababu hiyo basi line ya simu ikiwa kwenye kupigwa/kupigiwa ina maana hauwezi kureceive au kumake call, hiyo siku nzima haukupokea simu wala kupiga wala hata kusoma message......
Kwa sababu hiyo basi, embu nitumie details za battery ya hiyo simu nipige hesabu uliiweka kwenye charge saa ngapi. LOL
Kwanza hapa ofisin wadada mara nyingi hapa ofisin tunapigiwa wanaume kwamba kwa nini fulani hapokei simu mwambie anipigie...kuna mdada flani kila siku anapigiwa simu toka hm kwao kupokea kwake ni mara chache sana hadi sisi ndo tunapigiwa afu tunam-mind anaishia kucheka tu, na mwenzake naye ni hivohivo sema yeye hapigiwi sana...sasa usiombe imetokea ishu ofisini halafu unamuhitaji hapo ndo utakoma...utachoma mafuta kumfuata kwao...hiyo ni moja tu hata Boss akiwa nje ya ofisi akimpigia mdada imekula kwake itaita tu mpaka ikome...ukituma msg anajibu baada ya lisaa eti sikuskia simu...mwemwemwe wadada...Una uhakika gani hiyo simu ni ya mdada
????
Mkuu kweli umenena...hata wife ukimpigia anakucall back baadaye sana eti simu ilikua chumbani...hahahahaa,wakati mwingine mtu unakasirika hadi unachekaWadada wakiwa wanafua wanaacha simu ndani
Akiwa anaosha vyombo anaacha simu ndani
Akiwa anapiga soga na shostito anaacha simu kwenye mkoba
Akiwa anaangalia tamthilia anaweka simu chaji na kuiacha huko chumbani
Hawa watu ni vurugu tu!
Huwa hainiingii akilini, mtu ana piga simu zaidi ya mara tano na anaona hupokei ?????
Huyo mpigaji naye atakuwa na tatizo,umepiga mara mbili hapokei ujue kuna lililomshughulisha! Mtumie ujumbe atakapokuwa free atausoma na ata respond!
Mimi nikikuta missed calls 5 tu halafu zote za mtu mmoja atanieleza vizuri,hasa kama nikimpigia ataniambia nilikuwa nakujulia hali tu! Unatamani kumnasa kofi sema umbali ndio unamuokoa
Huyo kavuna rekodi, na hiyo simu bado inachaji??
Kwanza hapa ofisin wadada mara nyingi hapa ofisin tunapigiwa wanaume kwamba kwa nini fulani hapokei simu mwambie anipigie...kuna mdada flani kila siku anapigiwa simu toka hm kwao kupokea kwake ni mara chache sana hadi sisi ndo tunapigiwa afu tunam-mind anaishia kucheka tu, na mwenzake naye ni hivohivo sema yeye hapigiwi sana...sasa usiombe imetokea ishu ofisini halafu unamuhitaji hapo ndo utakoma...utachoma mafuta kumfuata kwao...hiyo ni moja tu hata Boss akiwa nje ya ofisi akimpigia mdada imekula kwake itaita tu mpaka ikome...ukituma msg anajibu baada ya lisaa eti sikuskia simu...mwemwemwe wadada...