WADADA kwa nini hampokeagi simu?

WADADA kwa nini hampokeagi simu?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
292383_393475427383771_626665600_n.jpg
 
wacha ulongo wewe, dada yupi hapokei simu, nipe namba yake nijaribu kama hatapokea kweli
 
Tu assume kwamba kupiga simu moja iite mpaka ikatike ni dakika moja na nusu(1.5min).

Kama huyo mpigaji simu ni mmoja na alipiga kwa kufululiza bila kikomo, calls 973 itakuwa dakika 1.5 * 973 = 1460mins

Dakika 1460 ni sawasawa na masaa, 1460/60 = 24hours ambayo ni sawa na siku moja nzima

Kwa assumptions hizo(to the maximum) huyo mtu atakuwa ametumia kwa kikomo cha siku nzima asubuhi mpaka asubuhi kupiga simu, hajapumzika hata kidogo yeye ni bandika bandua.

Kwa sababu hiyo basi line ya simu ikiwa kwenye kupigwa/kupigiwa ina maana hauwezi kureceive au kumake call, hiyo siku nzima haukupokea simu wala kupiga wala hata kusoma message......

Kwa sababu hiyo basi, embu nitumie details za battery ya hiyo simu nipige hesabu uliiweka kwenye charge saa ngapi. LOL
 
Na tena kwa jinsi charge inavyoonekana simu ilikuwa kwenye charger
 
hapo ukute ni za mtu mmoja...........

Huyo mpigaji naye atakuwa na tatizo,umepiga mara mbili hapokei ujue kuna lililomshughulisha! Mtumie ujumbe atakapokuwa free atausoma na ata respond!
Mimi nikikuta missed calls 5 tu halafu zote za mtu mmoja atanieleza vizuri,hasa kama nikimpigia ataniambia nilikuwa nakujulia hali tu! Unatamani kumnasa kofi sema umbali ndio unamuokoa
 
Hiyo simu ya kichina may be missed call 1 yenyewe inaandika hata 560. Ukirudia tena ya 2 inaongeza nyingine labda 235 nk. Huenda hapo ni missed call 3 tu.
 
Tu assume kwamba kupiga simu moja iite mpaka ikatike ni dakika moja na nusu(1.5min).

Kama huyo mpigaji simu ni mmoja na alipiga kwa kufululiza bila kikomo, calls 973 itakuwa dakika 1.5 * 973 = 1460mins

Dakika 1460 ni sawasawa na masaa, 1460/60 = 24hours ambayo ni sawa na siku moja nzima

Kwa assumptions hizo(to the maximum) huyo mtu atakuwa ametumia kwa kikomo cha siku nzima asubuhi mpaka asubuhi kupiga simu, hajapumzika hata kidogo yeye ni bandika bandua.

Kwa sababu hiyo basi line ya simu ikiwa kwenye kupigwa/kupigiwa ina maana hauwezi kureceive au kumake call, hiyo siku nzima haukupokea simu wala kupiga wala hata kusoma message......

Kwa sababu hiyo basi, embu nitumie details za battery ya hiyo simu nipige hesabu uliiweka kwenye charge saa ngapi. LOL

Hata kama ni ugreti thinkaa we umezidi
 
Hiyo kali missed call zote hizo, mi nikikuta 4 za mtu mmoja huwa sipendi piga maximum mara mbili
 
Hahahaaa...hujawahi kuwa na jamaa mkabaji anayepiga simu kila muda?
 
Hata mim nishafanyag ivo ikafika 908 kavunja rekod yangu ya mwaka jana nilivo mwacha dem wangu wa kwanza!!!"
 
Back
Top Bottom