Wadada kuweni Serious tafadhari

Wadada kuweni Serious tafadhari

I don't get it ivi kwanini mtu akipost tangazo hapa watu wanamwambia akatafute anapoishi..?! Sijajua ni nini shida..!?
 
Unaweza vaa bango mgongoni la kuhitaji mke pia unaweza kuwapata maana kuna wengine hawana accessya kuingia mtandaon ila ni wazuri na pia maadili ni 100/100
 
Back
Top Bottom