Wadada kuweni Serious tafadhari

Wadada kuweni Serious tafadhari

Dont go away

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
501
Reaction score
208
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa Mwaka huu. Kwa hiyo kwa wadada naomba muwe serious na hisia na utayari wa watu wengine.

Kupitia uzi huu naomba nitoe tena ombi kwa mdada aliye tayari ani PM, Awe na kazi halali, mrefu wastani na umbo la kawaida, mengine tutajulishana zaidi.
 
Usife Moyo utapata kaka, muhimu vumilia waungwana hawa
 
Mdau utakuwa uliopoa popo sema hataki yukukuweka wazi moja kwa moja ila kaamua akukate maini kwa indirect way.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha kumbe hata wanaume huwa wanaumia roho!!?? wakati mnaongoza kucheat mkishapendwa! Hongereni wadada mnaofanya ivyo.Ringeni na vyenu.Zamu yao kuumia.
 
Pole kaka ila unavigezo vikali nakushauri ukipata ambae hana kaz jitahid kumtafutia
 
"Mapenzi yamekwisha siku hizi"....Banana Zoro feat.. Afsa Kazinja
 
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa Mwaka huu. Kwa hiyo kwa wadada naomba muwe serious na hisia na utayari wa watu wengine.

Kupitia uzi huu naomba nitoe tena ombi kwa mdada aliye tayari ani PM, Awe na kazi halali, mrefu wastani na umbo la kawaida, mengine tutajulishana zaidi.

Pole nanyie msiwe waongo ,mkishamtadhimini dada mnakuja hapa na mada ooh mara wazeeee mara hawaolewi ndio mtaendelea kutendwa
 
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa Mwaka huu. Kwa hiyo kwa wadada naomba muwe serious na hisia na utayari wa watu wengine.

Kupitia uzi huu naomba nitoe tena ombi kwa mdada aliye tayari ani PM, Awe na kazi halali, mrefu wastani na umbo la kawaida, mengine tutajulishana zaidi.

Yani umpate leo umuoe mwaka huu? Mi naona huyo binti ndio alikuwa serious maana mwaka huu mngeutumia kujua tabia zenu vyema.Chunga usije kurudi unalia hapa.
 
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa Mwaka huu. Kwa hiyo kwa wadada naomba muwe serious na hisia na utayari wa watu wengine.

Kupitia uzi huu naomba nitoe tena ombi kwa mdada aliye tayari ani PM, Awe na kazi halali, mrefu wastani na umbo la kawaida, mengine tutajulishana zaidi.

Ha ha ha ha dah unafurahisha sana kaka.Hivi ina maana kutongoza hujui au huko unapoishi hakuna wanawake.Lazima utakuwa na matatizo wewe.Swala la mke ni swala pana sana halafu wewe unalichukulia kirahisi saaaaanaa.Yaani utafute mke JF hata muda wa kufahamiana na mwenzio huna we unataka kuoa tu fasta.Mwenzio anataka akusoma kwanza akuelewe na ajiridhishe.
Unatuaibisha wanaume wenzio.JINGA SANA WEWE!
 
Kuna uzi nilipost hapa kutafuta mke wa kuoa, yule dada alikuwa na vigezo vyote nivitakavyo but hakuwa serious kwa sababu yeye aliniambia atakuwa tayari kuolewa Mwakani, wakati mimi nahitaji kuoa Mwaka huu. Kwa hiyo kwa wadada naomba muwe serious na hisia na utayari wa watu wengine.

Kupitia uzi huu naomba nitoe tena ombi kwa mdada aliye tayari ani PM, Awe na kazi halali, mrefu wastani na umbo la kawaida, mengine tutajulishana zaidi.

Acha ukali wewe.We ndo una shida halafu unaleta utemi ha ha ha dah unafurahisha ujue!Unaonekana mtu wa amri sana hebu punguza speed,vuta pumzi.Mwanamke unaenda nae taratibu usiwe na papara utamkosa bibie halafu unaonekana hujui mapenzi wewe ndo maana unahaha hapa JF kutafuta.
 
Back
Top Bottom