Wadada kuweni na msimamo Muda mwingine

Tujifunze.
Kuna huyu mdada alikuwa anafanya kazi ya kuuza mgahawa kwa mtu mshahara 60,000 kwa mwezi akaja akafukuzwa alihangaika sana mjini mpaka mwenye nyumba akamtimua.
Sasa katika mishe ya kimjini mjini alikutana na huyu jamaa yangu wakapendana bana. Ikumbukwe huyu rafiki yangu ana mke. Jamaa kwa vile alimpenda sana huyu binti ilibidi amfanyie mpango wa namna ya kuishi mjini. Akampangia na kumpa mtaji wa duka kubwa tu la mahitaji ya nyumbani. Just imagine alikuwa anauza kwa siku mpaka 150,000/200,000.
Baadaye akaja akafungua saloon na kanunua gari ya kutembelea bado wakiwa na jamaa. Jamaa kamsaidia sana mpaka ada ya baadhi ya wadogo zake.
Maisha yameenda ila kwa kuwa bibie sasa alikuwa anajiweza akaanza kuvutia wawekezaji. Likatokea lijamaa huko likamrubuni kuwa linataka kumuoa likamvisha pete bila jamaa yangu kujua. Basi bibie nae kaingia tamaa ya kuolewa akatemana na jamaa kwa matusi makubwa. Mimi binafsi ikabidi niende kwa bidada kumsihi aache kumtukana ameshakubali kumuacha na hata chukua chochote. Ila hakusikia aliendelea kumtukana na dharau juu za kipuuzi tu. Jamaa yangu ni mpole by nature akaamua yaishe akabadili namba japo ilikuwa kasheshe wife wake kuridhia abadili namba bila sababu.
Basi bana lijamaa lile likahamia kabisa na sikia kwa bi shosti likamrubuni wauze kiwanja wakanunue sehemu tofauti. Hilo likafanyika jamaa kachukua hela kaweka kwenye biashara yake. Baadaye tena bi dada kauza saloon hela sijui anasema alimpa jamaa aongezee kwenye kununua gari.
Duka limeshuka mdogo mdogo mpaka alikopa anamadeni makubwa hayalipiki.
Sasa hamadi anakuja kujua kuwa lile jamaa lina mke na watoto na walishafunga ndoa. Baada ya kutaka kujua zaidi akamuuliza jamaa akatokomea kumuacha bibie hana hata mia.
Sasa mi nimejitokea kazini nimechoka nikapige K-vant natoka getini nasikia mtu ananiita Guzman Guzman kugeuka ni yule bibie hee tena. Basi bana nikakaa nae nikaongea nae kama shemu wa zamani. Ananieleza analia sana. Mpaka tupo pale mwenye nyumba anamwambia kesho anafunga nyumba atoe vitu.
Mimi binafsi nikasema siwezi kukusaidia akaniomba namba ya jamaa ajaribu kumwomba msamaha. Mimi nikasema sitoi mana alibadili kwa ajili yako.
Nilichofanya nikampigia jamaa akaja pale akakutana na huyu mwanamke alikuwa hajui kama niko nae. Bi dada anatetemeka anashindwa hata kumsalimia. Jamaa nae akapiga glass ya wine akasepa hakutaka hata kumzungumzia wala kumsikiliza.
Mimi nikachomoa 5k nikampa nauli aende kwake.
Sasa leo kashinda ananisumbua sana sana nimwombee msamaha kwa jamaa na jamaa hataki kumsikia kabisa.
Inshort dada kafukuzwa kwa mwenye nyumba na vitu vimefungiwa ndani amehamia kwa rafiki yake na mdogo wake.
Sasa nikawa nawaza shida yake ilikuwa ni nini hasa hata kama alitaka kumwacha aolewe si ange-mute tu asimtukane jamaa.
Sometimes not always unaweza kuwa bibi mdogo unakaishi maisha ya furaha kuliko kutaka kuwa main chick.
Funzo ni kuwa kuweni na msimamo na kama unataka kuachana na mtu fanya kidiplomasia tu hujui kesho.
Jumapili Njema. Tuendelee kuvaa barakoa.

Aisee Nimetoka kusuluhisha ujinga kama huu leo huko Kigamboni.
Mimi Pia nna story kama hiyo Dada kuolewa mke wa pili mwaka juzi mwaka jana December kala talaka tatu na kawekewa replacement tayari.
Wanawake JINGA SANA. Mkiona Pete tu mnanyea kambi.
 
Hawa ndugu zetu sijui wakoje. Unamtoa mbali unamfanyia kila lililojema akishafanikiwa tu anaanza matusi na dharau.
 
Tujifunze.
Kuna huyu mdada alikuwa anafanya kazi ya kuuza mgahawa kwa mtu mshahara 60,000 kwa mwezi akaja akafukuzwa alihangaika sana mjini mpaka mwenye nyumba akamtimua.
Sasa katika mishe ya kimjini mjini alikutana na huyu jamaa yangu wakapendana bana. Ikumbukwe huyu rafiki yangu ana mke. Jamaa kwa vile alimpenda sana huyu binti ilibidi amfanyie mpango wa namna ya kuishi mjini. Akampangia na kumpa mtaji wa duka kubwa tu la mahitaji ya nyumbani. Just imagine alikuwa anauza kwa siku mpaka 150,000/200,000.
Baadaye akaja akafungua saloon na kanunua gari ya kutembelea bado wakiwa na jamaa. Jamaa kamsaidia sana mpaka ada ya baadhi ya wadogo zake.
Maisha yameenda ila kwa kuwa bibie sasa alikuwa anajiweza akaanza kuvutia wawekezaji. Likatokea lijamaa huko likamrubuni kuwa linataka kumuoa likamvisha pete bila jamaa yangu kujua. Basi bibie nae kaingia tamaa ya kuolewa akatemana na jamaa kwa matusi makubwa. Mimi binafsi ikabidi niende kwa bidada kumsihi aache kumtukana ameshakubali kumuacha na hata chukua chochote. Ila hakusikia aliendelea kumtukana na dharau juu za kipuuzi tu. Jamaa yangu ni mpole by nature akaamua yaishe akabadili namba japo ilikuwa kasheshe wife wake kuridhia abadili namba bila sababu.
Basi bana lijamaa lile likahamia kabisa na sikia kwa bi shosti likamrubuni wauze kiwanja wakanunue sehemu tofauti. Hilo likafanyika jamaa kachukua hela kaweka kwenye biashara yake. Baadaye tena bi dada kauza saloon hela sijui anasema alimpa jamaa aongezee kwenye kununua gari.
Duka limeshuka mdogo mdogo mpaka alikopa anamadeni makubwa hayalipiki.
Sasa hamadi anakuja kujua kuwa lile jamaa lina mke na watoto na walishafunga ndoa. Baada ya kutaka kujua zaidi akamuuliza jamaa akatokomea kumuacha bibie hana hata mia.
Sasa mi nimejitokea kazini nimechoka nikapige K-vant natoka getini nasikia mtu ananiita Guzman Guzman kugeuka ni yule bibie hee tena. Basi bana nikakaa nae nikaongea nae kama shemu wa zamani. Ananieleza analia sana. Mpaka tupo pale mwenye nyumba anamwambia kesho anafunga nyumba atoe vitu.
Mimi binafsi nikasema siwezi kukusaidia akaniomba namba ya jamaa ajaribu kumwomba msamaha. Mimi nikasema sitoi mana alibadili kwa ajili yako.
Nilichofanya nikampigia jamaa akaja pale akakutana na huyu mwanamke alikuwa hajui kama niko nae. Bi dada anatetemeka anashindwa hata kumsalimia. Jamaa nae akapiga glass ya wine akasepa hakutaka hata kumzungumzia wala kumsikiliza.
Mimi nikachomoa 5k nikampa nauli aende kwake.
Sasa leo kashinda ananisumbua sana sana nimwombee msamaha kwa jamaa na jamaa hataki kumsikia kabisa.
Inshort dada kafukuzwa kwa mwenye nyumba na vitu vimefungiwa ndani amehamia kwa rafiki yake na mdogo wake.
Sasa nikawa nawaza shida yake ilikuwa ni nini hasa hata kama alitaka kumwacha aolewe si ange-mute tu asimtukane jamaa.
Sometimes not always unaweza kuwa bibi mdogo unakaishi maisha ya furaha kuliko kutaka kuwa main chick.
Funzo ni kuwa kuweni na msimamo na kama unataka kuachana na mtu fanya kidiplomasia tu hujui kesho.
Jumapili Njema. Tuendelee kuvaa barakoa.

Ndio watu wenye tamaa za ngono walivo
 
Huyo mwanamke anasikitisha sana unajuwa kupitia hizi nyuzi za humu za mahusiano kuhusu tabia mbovu za hawa KE, hii itasababisha wanaume wasiweze tena kutoa support kwa wanawake kwa sababu hawaaminiki hata kidogo kama bibie alikuwa choka mbaya halafu baadae mwanaume anakutoa kwenye hali duni kesho yake unajiona wewe ndio kila kitu. Hawa viumbe sio wakuonea huruma ni kupiga Tofali tu wana mapuuza sana, sijuwi akili zao zipo matterkon tunashindwa hata kuwaelewa pimbi hawa. Leo unaharibu kwa jamaa kesho unarudi kama sio wewe vile. Nasema piga Tofali kabisa wapuuzi hawa.
 
Nimependa reaction ya huyo jamaa. Hata mimi nisingetaka kujihusisha nae tena huyo dem.
 
kipindi sina pesa niliachwa na mwanmke,ila sas natumia pesa kuwanunua bnafsi sjui huwa wanatak nni hawa dada zetu
Mimi baada ya kumaliza chuo nilipata mwanamke nilimpenda vibaya mno full mipango ifikapo 2021 tufunge ndoa too sad kipindi hicho nilikua sina kazi napambana na mtaa maisha magumu, sasa baba yake huyo mwanamke alikua anaumwa figo hivyo alikua anaenda hospital kufanyiwa dialysis.

Mara bibie akapata mpenz daktari huko hospital mimi nikaachwa ilikua ngumu sana kumove on ila nilikaza moyo. Sasa juzi Kati 14 February kanitafuta ni miaka mitatu anaomba nimsamehe shetani tu alimpitia anataka tukamilishe mpango wa ndoa mwaka huu kama tulivokua tumepanga mbaya zaidi kazalishwa halafu mhuni haeleweki.
 
Majuto ni mjukuu. Hii tabia ya wanawake kupatukana na kupadhihaki walipotoka huwa inawagharimu sana. Wakipata bwana mpya akili zinawaruka kabisa!

Works both ways, wapo wanaume wanaoachana na wanawake kwa kuwatolea maneno ya kashfa
 
Mimi baada ya kumaliza chuo nilipata mwanamke nilimpenda vibaya mno full mipango ifikapo 2021 tufunge ndoa too sad kipindi hicho nilikua sina kazi napambana na mtaa maisha magumu, sasa baba yake huyo mwanamke alikua anaumwa figo hivyo alikua anaenda hospital kufanyiwa dialysis.

Mara bibie akapata mpenz daktari huko hospital mimi nikaachwa ilikua ngumu sana kumove on ila nilikaza moyo. Sasa juzi Kati 14 February kanitafuta ni miaka mitatu anaomba nimsamehe shetani tu alimpitia anataka tukamilishe mpango wa ndoa mwaka huu kama tulivokua tumepanga mbaya zaidi kazalishwa halafu mhuni haeleweki.
Haaah kweli karma anapita kwenye mlango
 
Back
Top Bottom