Wadada kuweni makini na wanaume wa aina hii

Wadada kuweni makini na wanaume wa aina hii

Mkuu figganigga hao hawaeleweki kama popo, unaweza unaweza ukawatongoza halafu watakuja humuhumu na kusema wanaume wasumbufu mitaani.

Bado ukimla Papuchi atasema tunapenda kula Pauchi, tusipokula watakuja humuhumu na kusema wanaume wa siku hizi mazoba wamepungukiwa nguvu za kiume hata ukiwatengea sahani wanashindwa kula.
wapigwe tuu (na rungu la asili)
 
Kumbe ww huwajui wanaume, nadhani umemwona mtu mmoja wa hvyo basi ukakimbia kuandika.
Wanaume wa aina hyo "baadhi yao" ni SILENT KILLERS uspime

Mbona huo u-silent killer hauooneshi kwa girl wako? akajua kweli unayaweza.
 
shostito Madame B njoo umuone pacha wako kapost kakitu hapa nimebaki naduwaa kama sio kushangaaa
What's..............................up!

Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.

Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.

Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
mimi nasahangaa sana nao ntaendelea kushangaa,,hawa wanawake wetu siku hizi wanatakakujifanya maengineer wakila kitu toka kwa mwanaume,chakushangaza jinsi wanavyozidi kuutafuta huo umalkia na milki hiyo ndio wanavyosahau majukumu yao nakujikuta wamegeuka kilago cha magereza
 
jamani sasa twende kwa maplay boys? bora haooo
 
Wapendwa naomba kuifunga mada hii. Kwa wale tuliokwazana kupitia mada hii basi tusameheane.
USHAURI: Najua wapo walionielewa ninachoongelea, basi kama unajijua umo kwenye kundi la wanaume niliokuwa ninawaongelea nakushauri chukua hatua tafuta ufumbuzi wa shida yako.
EID njema!
 
What's..............................up!

Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.

Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.

Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?

Kwani uwezo mdogo haurekebishiki? hata kama wewe ni demu mwenye pepo la kugidwa masaa 24 mbona maarifa yapo ya kuifanya nondo igangamale na kutema cheche hadi ukimbie? tafuta vigezo vingine vya maisha hiyo sio ishu kabisa
 
Teh huo utafiti wako wa uwezo wao mdogo wa kunaniliu uliufanya kwa wanaume wangapi??

Wengi wao huwa ni SILENT killers, na wanapenda kununua makahaba believe me...

yap! hapo umenena tena bila kumung'unya naomba tu mtoa maada akafanye utafiti tena.
 
Duh! So kabla ya kuolewa inabidi nionjwe sasa ntaonjwa na wangapi hapa mjini?? Hiyo itakua ngumu asEee
 
MadameA wewe umeolewa? na kama bado, unategemea kuliwa Papuchi kwanza au utasubiri mpaka ndoa?

aiseee kumbe wanapenda tuwacheze kwanza, ukitulizana hadi kusubiri ndoa ndo unawekwa kwenye hili group la madameA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom