Wadada kuweni makini na wanaume wa aina hii

madameA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
435
Reaction score
176
What's..............................up!

Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.

Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.

Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?
 
MadameA wewe umeolewa? na kama bado, unategemea kuliwa Papuchi kwanza au utasubiri mpaka ndoa?
 
Teh huo utafiti wako wa uwezo wao mdogo wa kunaniliu uliufanya kwa wanaume wangapi??

Wengi wao huwa ni SILENT killers, na wanapenda kununua makahaba believe me...
 
What's..............................up!

Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.

Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.

Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?

O mama yooo.....umebugi men,

Wanaume wa dizaini hiyo ni watu hatari sana na wanakuwa na mahusiano na madem wengi sana. Research yako imetoa majibu feki.
 
It's shake befoo yuzi kwa kwenda mbele, usubiri ndoa umekuwa bozooo?
 
unalosema linaweza kuwa ukweli au lah lakini wengi wao huwa wanatafuta wanawake mtaa wa saba ili tu mtaani kwake aonekane mtu na heshima zake au kazishika amri za muumba hataki kutenda dhambi au
BZA3ezS9OvzgAAAAAElFTkSuQmCC
 
What's..............................up!

Kuna wale wanaume wanaojifanya hawa-mind saaaana wanawake. Hata mtaani huwezi kuwakuta na ma-girl friend ovyo ovyo. Wengine wamejipachika ulokole. Wanaume walivyo na UCHU wa 'K' lakini wa aina hii ninaowaongelea, hata ukiwa naye kwenye mahusiano mara chache sana aongelee ngono. Huwa wanajifanya wana ustaarabu fulani hivi, kama hauko makini sana unaweza ukasema YES mwanaume si ndio huyu. Mara nyingi atajifanya yuko busy.

Nilichokuja kugundua wanaume wa aina hii wengi wao (SIO WOTE) EITHER huwa wanahitirafu kwenye viungo vyao vya uzazi kwa hiyo anaona aibu kuwatokea wanawake OR wanakuwa na uwezo mdoko wa KUDUU.

Girls be very careful, unaweza ukauziwa ng'ombe kwenye gunia. Sisemi kwamba nahalalisha ngono kabla ya ndoa ila habari ndio hii. Huu ni mtazamo wangu, unaweza usiwe sahihi. Je wewe unasemaje?

Carry on with your thinking.
 
Ila ni vizuri kujua tunatofautiana jinsi tunavyoishi kuna watu huwa hawapendi sana mambo yao yajulikane, na ndio maana wako tayari kutumia ghalama kubwa kwenda kufanyia mbali so watu wa hivyo huwezi kuwakuta na wanawake hovyo hovyo kama unavyosema(silent killer), kutowaona na wanawake haimaanishi hawafanyi usije kuta hao ndio wanaongoza kwa kutemebea na wanawake wengi. na kama anausafiri na nyumba ya uzio thubutu hutajua hata siku moja
 
unalosema linaweza kuwa ukweli au lah lakini wengi wao huwa wanatafuta wanawake mtaa wa saba ili tu mtaani kwake aonekane mtu na heshima zake au kazishika amri za muumba hataki kutenda dhambi au
BZA3ezS9OvzgAAAAAElFTkSuQmCC

Hii hata mie nimeona - wewe mjanja. Kumjua mwanaume you have to go beyond his horizons!
 
Kumbe ww huwajui wanaume, nadhani umemwona mtu mmoja wa hvyo basi ukakimbia kuandika.
Wanaume wa aina hyo "baadhi yao" ni SILENT KILLERS uspime
 
Mi niko hivyo, ila njoo tuonane utaona viuongo vyangu kikikikiki
 
Ha ha ha, huyo ni madameB pekee anajivimbisha kwa uchungu.

I hate surprises, am will never do such a mistake!

ha ha ha!! tuna shake mpaka avimbe ndio tunapeleka posa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom