Wadada kabla na baada ya kujiwekea make ups!!!!!!!

Wadada kabla na baada ya kujiwekea make ups!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
make up.jpg
Dada zetu kabla na baada yakujitupia ma make up.
 
Attachments

  • make up.2.jpg
    make up.2.jpg
    24.7 KB · Views: 248
  • make up 3.jpg
    make up 3.jpg
    22.8 KB · Views: 267
Mwingine huyu hapa chini,
 
Attachments

  • make up 5.jpg
    make up 5.jpg
    16.5 KB · Views: 242
  • make up 4.jpg
    make up 4.jpg
    15 KB · Views: 213
Ebwana eeh kumbe uzuri wa pakacha.....
 
Ebwana eeh kumbe uzuri wa pakacha.....

Ukikutana nao njiani wanavyojishatua mpaka mwenyewe utababaika,
hebu mvizie akiwa ajapiga make up unaweza ukamkimbia.
 
Ukikutana nao njiani wanavyojishatua mpaka mwenyewe utababaika,
hebu mvizie akiwa ajapiga make up unaweza ukamkimbia.

Halafu akijistukia hajaweka hayo mamakeup anakuwa mpole kama maji mtungini.
 
Jamani sio ndio maana hata chakula kinapopikwa watu wanatia viungo ili kinoge? Nyama ikichemsha tu kisha inawekwa mezani na ugali bila kiungo! Mmmhh!! Lakini yote ni uamuzi.
 
Jamani sio ndio maana hata chakula kinapopikwa watu wanatia viungo ili kinoge? Nyama ikichemsha tu kisha inawekwa mezani na ugali bila kiungo! Mmmhh!! Lakini yote ni uamuzi.

Ni wewe bi mkora wa msamvu? Samahani lakini
 
Last edited by a moderator:
Enzi zile za mwalimu tulikuwa tuna ambiwa ukitaka kumjua mwanamke mzuri kamwone wakti anatoka kuamka.
 
Siku hizi Kilakitu madukani tu, hata ubikra sikuhizi kwa shop....
 
Mjini hapa ukijichanganya inakula kwako. We ukitaka kuchagua kimwana vizia wanachota maji bombani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom