Pia huko anakopata hayo ashasema ni nje...michepuko iko kimaslahi lazma afanye hivyo ili umpe kitu...amuoe huyo mchepuko aone km nae hatakua gogo...michepuko ni km changudoa mbwembwe zake ndio zinazomuweka mjini...tena sio mtu mmoja wanapangwa wengi....asimpe hela aone km atajitutumua