Wadada Jiongezeni 6*6

This is a protected area..Umefwata nn lakini..Unapenda kujiumiza bila sababu Mamuchka

Nilikuwa najipitia tu njia mume wangu, macho yakatamani kuangalia, nikaona isiwe taabu nikupe hata hi tu.
 
Hizo shanga 70 ni mpaka shingoni mkuu??
 
Uwiiiiiii, nimecheka mpaka kondakta wa daladala kajishitukia na minguo yake michafu lo!
 
Wewe lazima utakuwa na matatizo si bure

Tatizo langu sipendi mwanamke alete vurugu kunako 6*6... mimi ndiyo nimeletee hizo vurugu... kwa sababu mimi ndiyo rubanj namuendesha yeye.. na si yeye kuniendesha mimi...
 
Mwengine unamfundisha anajibu kama unapenda mkata.viuno si ungewafuata masteji show wa fm academia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli lkn ww mzinifu mkuuu daaa asante nimecheka.
 
Wengine wanakata,ila sasa full mikelele ndani,sijui ndio uwaongeze dau?
 
ni kweli....bora uzungumze nae mwelekezane....hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu
 
Watu wengine ni watumwa wa ngono tu, kama wako hajiwezi mpende hivo na endelea kumfundisha kidogokigo naye atakua mtaalam
Pia huko anakopata hayo ashasema ni nje...michepuko iko kimaslahi lazma afanye hivyo ili umpe kitu...amuoe huyo mchepuko aone km nae hatakua gogo...michepuko ni km changudoa mbwembwe zake ndio zinazomuweka mjini...tena sio mtu mmoja wanapangwa wengi....asimpe hela aone km atajitutumua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…