Wadada Jiongezeni 6*6

Noma sana, ila daah wengine dizain kama tupo tofauti coz tunaenda na mazingira wa hivyo huwa tunasugua mwanzo mwisho.
 
Mavurunza???
 
Hizo judo za dirishani anafanyiwa nani?..Mi sijawahi kuziona
 
Mkuu wamekusikia Cc: masista duu wote maana hawa masista duu ni majipu unakuta ye anajua kukuna kucha na kuendana na mitindo ya kisasa ya mjin ila kitandan hola gogo au msitimu wa tanesco ambao. Kuuiunua inapaswa muwe km 20
 
Mashanga mengi nayo uzushi inatakiwa moja gold nyembamba hiv amazingi imezunguka nyonga"
 
Ha ha ha haaaaaaaa.... Mwandamizi wa Kigagwe.
 
kumbe wewe ni .mwanamke?
 
Uko kama mimi.Mimi mwanamke mwenye kukurukakara nyingi naona kama anataka mashindano. Nataka atulie mi nimburudishe. Kuridhika kwake tu mimi nafurahi sana naridhika pia.
Teh teh.... kwahiyo kukurukakara zinakupotezea timing mzee....
 
Mwanamke unatakiwa nawe ulete burudani siyo upewe tu!
 
We chalii wa ara kweli au unatuzingua tu

Kuna sehemu anazicopy, maana hizi post zake mbili ni msg zilizokuwa zinatembea sana kwenye mitandao ya kijamii siku nyingi tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…