Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
- Thread starter
-
- #81
Me kuwa ndugu yako si vibaya ndugu [emoji1][emoji1] kwetu dada zangu wanajua kupika.. karibu
TUNAKUZA UKOO [emoji23]au sio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ulishapona lakini mdogo wangu?Wewe shetani toka katika jina lenye nguvu tokaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23]
Wewe mchafuzi tu kama yule mwingine hamna tofauti mnatofautiana jina yule sele wewe denicy
Wewe shetani toka katika jina lenye nguvu tokaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah bro nmecheka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]fayaaaaaa[emoji113][emoji91][emoji91][emoji91]
Bhas ni sawa kwakuwa hata wewe mkuu unamjuwa kabisa kwamba ni wa hovyo bhas muonee huruma mwanaume mwenzio kumpa mwenza wa hovyo.Naelewa hila kijana wa ovyo sana humjui tu mengine nikisema hapa nitaangua kilio [emoji24][emoji24]
Una mwandiko mbaya kinoma noma, we kweli wa bonyokwa [emoji23]
Bhas ni sawa kwakuwa hata wewe mkuu unamjuwa kabisa kwamba ni wa hovyo bhas muonee huruma mwanaume mwenzio kumpa mwenza wa hovyo.
Fayaaaa tokaaa nasema tokaa navynja navunja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kukemea usichoke kuna nguvu inashuka hapa kuna watu wanapona uzinzi hapa hasa huyu [mention]denicy [/mention] [mention]Get Rich [/mention]
Nimesoma kwa shida sana ππUmeona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini umesoma mpaka ukacomment inshallllllaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] upate neema za Mungu
Nimesoma kwa shida sana [emoji23][emoji23]
Kwenu mna matatzo, binamu ajui kupika na wewe kuandika ni changamoto [emoji23][emoji23] hama uo ukoo
Nimesoma kwa shida sana [emoji23][emoji23]
Kwenu mna matatzo, binamu ajui kupika na wewe kuandika ni changamoto [emoji23][emoji23] hama uo ukoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1430][emoji1430]Nmepona bro
Funga macho tushukuru na keshi unatakiwa kufunga tatu kavu mpaka ijumaa ndio ule maana pepo lako limeota mizizi hasikii kama kiziwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]