Usikute una degree!!!
Lazima atimuliwe TU,Hapo umenena
Lakini kama ndio ungekuwa ww mtoto wako kakuletea mimba nyumban ungefanyaje
[emoji16][emoji1] ila ndugu mmemdekeza sana binadamu why hadi amekuwa mama hajui kupika
Aende TU kwa bwana ake akalianzishe,Sasa mda wot analia lia tu
L na R ni vitu tofauti mkuu jitahidi hapo kwanzaNikiipata hiyi degree nitawambiaa hapa jf nimeishia darasa la tano
Lazima atimuliwe TU,
Iwe funzo hata kwa wanaobaki,
Huwez kua na familia ya kulea mabao ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] wewe dada zako wote wanajua kupika kuliko shishi? [emoji1787][emoji23][emoji23]
Aende TU kwa bwana ake akalianzishe,
Tena ana mtito wake,Akomae ndani liwalo na liwe, Jamaa nafsi itamsuta na Watu watamsema. Maisha yataendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
L na R ni vitu tofauti mkuu jitahidi hapo kwanza
endelea kumshauri binamu huku unampelekea moto[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23] wanajua kupika ndio wote ila me kwa shishi sijaingia pale kula .. maana home dada wapo wanapika
endelea kumshauri binamu huku unampelekea moto[emoji28][emoji28]
Yeah li binamu lako lijinga sanaEt walikuwa wanapika wanakula wote kwa pamoja usiku dah si urofa uho
Mwanaume akileta maembe wanagawana sawa dah napatwa na hasira tajiri mkuu
Kumbe jifunze na wewe kupika [emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]moto ampelekee wa nini si atachoma nyumba..hajui kupika
Yeah li binamu lako lijinga sana
[emoji23][emoji23][emoji23] kenge mweusi wewe ndio maana umeacha na ex wako uku ananisumbua [emoji23][emoji23]
Siyo mbaya, hajui kabisa kuandika andiko kwenye public domain.Una mwandiko mbaya