Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,597
- Thread starter
-
- #21
Huyu mwanaume ni mkware tu. Na hii inamaanisha kuwa hawezi kujizuia na wanawake walio karibu naye. Huyu hata akiletwa dada wa kazi hataweza kujizuia.
Tofauti ya R na L zinakushindaje?Where mkuue
Bwana ake binamu yako Ni dhaifu asijifiche kwny kichaka Cha mapishi.
Ni Tamaa zake tu mbususu zimemsumbu
Kosa la binam yako Ni kumuamini Sana shoga ake na kukaribisha mazoea sana na bwana ake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka mwachi umetisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ruch au lunch[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake Wana tabia ya kuoneana wivu kwny mahusiano na kuchukuliana Sana mabwana bila hata kujali matokeo yake.
Ndo maana kama mwanaume ujasimama imara, Ni rahisi sn kumla binti na shoga ake
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanyaga makusudi kujifanya hajui kuandika ili aonekane zamwamwa kumbe ni mtu na akili zake
no mara waaaUna mwandiko mbaya
Tofauti ya R na L zinakushindaje?
Suala lililopo ni jamaa hakumpenda binamu yako TU, ndo maana mlitumia Nguvu kubwa Sana kumuozesha.Et walikuwa wanapika wanakula wote kwa pamoja usiku dah si urofa uho
Mwanaume akileta maembe wanagawana sawa dah napatwa na hasira tajiri mkuu
Ila Mwana una hekaheka!!!!
Halafu anapenda kuandika.Una mwandiko mbaya
Kama kigezo Ni mapishi,
Ungejiuliza uyo jamaa keshatembea na wadada wangapi wapishi mighahawani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la shahawa kutungisha mimba haziangalii huyu anapendwa au vipi.Atakama akutakiwa kumuacha kozi amezaa nae
Huna Cha kumfanya jamaa,Yye ndio alisema hivyo bado tunaendelea jadili hapa sijui cha kumfanya huyu jamaa maana hakuna kitu sipendi dada zangu kuchezewa
Suala lililopo ni jamaa hakumpenda binamu yako TU, ndo maana mlitumia Nguvu kubwa Sana kumuozesha.
Angempenda,
Asingezuzuka na mapishi ya jirani,
Hata Kama angemla,binamu yako angemrudisha na jiran angeendelea kua Mchepuko kisiri siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute una degree!!!Nimekulia huko nanjilinji huko
Habaro za mchana natumai wote mmepata ruch pale food point au kilimanjaro hotel (utani tu kama kawaida yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama bado karibu ugali na mrenda na mtindi huku bunyokwa)
Twende kwenye mada
Nina binamu yangu ambaye alipata mimba huko mtaani sasa tukakubaliana wanaume wafamilia kumpeleka huyo binamu kwa mshikaji ambaye amempa mimba.
Tulienda na binamu yangu kwa huyo mshikaji tulipo fika tukaongea nae yule mshikaji hakuwa mbishi halimpokea kwa mikono miwili na akatoa faini laki tatu na nusu
Sasa baada ya kumuacha yule binamu kwa mshikaji mimba ikaaza mtia uvivu hatakai kupika kupika anamuita jirani yake wanapika pamoja yule jirani sasa yule bwana akanogewa na pishi la jirani huyu binamu wetu huyu ni kweli hajui kupika nikisema hajui hajui kabisa
Sasa mdogo mdogo yule bwana akanogewa kule kwa jirani sasa alipo karibia kujifungua akabidi aje home kuja kujifungua kakaaa sasa siku ya kutaka kuludi kwake ndipo mwanaume akatuma barua kuwa huyo asiludi tena huku hila matumizi ya mtoto nitakuwa naatoa
Sasa analia lia kila siku kisa ujinga wake mimi nilimchana nikamwambia hukutakiwa kuruhus mwanamke mwingine ulitakiwa humzoeshe chakula chako ili hajue pungufu lako sasa wewe umempa jirani apike si ujinga huo
Na hii tabia wadada wengi mnayo jifunzeni
Yangu hayo
Huna Cha kumfanya jamaa,
Mwambieni mdg wenu apambanie penzi lake mwnyw
Sent using Jamii Forums mobile app