Wadada je yanawakuta haya????

Hivi kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu na si mume wako unaanzaje kumuomba hela?
Hili somo sikulielewa kwa mnaojua nifumbueni jamani.

aaah asee tena huku ndio hua wanawachuna kinyama..! kwani unadhani huku mwanamke anaomba hela..? au mwanaume hua analeta zote ndio huyu mwanamke anaamua kiasi gani kipelekwe kwa mke wa ukweli..!? kongosho huku mamama hayaombi ndugu yangu...! miwanaume inatoa mpaka mimama inawaambia heee...! hebu kumbuka familia yako kidogo..! wee acha bwana
 
mmmmmmhhhhh yaani uko na bishanga kisha kidani akununulie rejao? Katika hilo unataka nikuelewe? Fenicha,nikute sofa mpya nisiulize? Kibaya zaidi we kama ni nyumba ndogo yangu si ina maana kuna anayeniasaidia nikiondoka kurudi ikulu,au?
 
Kwani Bishanga mafanikio ya huyo binti yanakuwa yako limited na wewe?? If ni nyumba ndogo yako na hutaki kusaidiwa nunua basi wewe? Alafu kumbuka kwa yeye kununua kitu si lazima iwe ni kwa msaada wa kidume mwenzio!!

BTW: Ukiwa na wivu sana na vitu vinunuliwavyo, nunua wewe ama sivyo usilalamike!!
 
ndo mana udhibiti wa nyumba ndogo ni mgumu sana hasa kama kadem kenyewe ni mcharuko,we acha tu,na kuacha hatuwezi.
 
Ndo mpige kimya sasa, hata siku ukipelekwa kwenye nyumba mpya unatulia tu!!!
Ila nyinyi wanaume bana.........kinachowashinda kutoka kwenye nyumba ndogo ni nini hasa??

Halafu wenyewe mna kiburiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom