Wadada Inawahusu hii

Wadada Inawahusu hii

MadameX nakuelewa sana but tuongelee desturi na mila zetu za kiafrika coz thats what we are....Najua usafi muhimu,tabia njema na heshima muhimu,mambo kibao muhimu but thread inaongelea issue ya MWANAMKE KUJUA KUPIKA.....kwa upeo wako labda na malezi wewe unaweza kuona sio muhimu but kwa binti aliye lelewa na mama anaelewa maisha ya ndoa hawezi kua proud kuona binti yake ameolewa hajui kupika.Mi naona Chef/wapishi wanakuja baadae sana kama wasaidizi waziada pale mwanamke unapozidiwa na majukumu bt Mwanamke kupika muhimu!
Ninavyojuwa, MadameX, anajuwa kupika, ila hapa anajaribu kuji Nivea tu....
Yaani mwanamke mzima unachojuwa kupika kiwe chai tu... NOOOOOO
 
ushauri mzuri, lakini siku ingine utuwekee maandishi makubwa.
 
Posts za hapa zinakuonyesha tu wadada gani wasiojua kipika, na jinsi wengi walivyo wahanga wa hili suala.
Mdada asiependa kuandaa hata chai mm huwa nakua na wasiwasi na usafi wake wa ndani, anakua msafi wa:
1. Kucha; maana zinatengenezwa na vijana wapaka rangi
2. Nyayo; maana zinaoshwa mtaani
3. Nywele; maana zinatengenezwa saloon
4. Mitindo ya kutembea/ kutikisa mwili maana wanaangalia kwenye muvi.
Ila huko ndani hapajawa na watu mtaani wenye biashara ya kusafisha, so nakua na wasi wasi kama mtu unaweza kula pakifungiliwa milango, and this.is from experience
 
Very turuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! yaani kama ulikuepo vile.
 
Nahisi we mzungu....
huu uafrika wenu wakuwafanya wanawake watumwa wenu ndio sababu mnakufa na pressure kama mkeo hajui kupika si umfundishe ??kwani lazima kujua ina maana ukioa mwanamke hajui kusoma wala kuandika ndio usimfundishe kusoma na kuandika kipi zaidi ya kujua kupika !poor analysisi
 
Niveaaa...!Kumbe ishu si kupika tu!Lol!unagegedwa mnagegedana?mbona unaongea kama vile hata sex hufurahii?
mambo ya sex hayakuhusu!!!! mfumo dume kufilia mbali utapika na wewe kama sijui nakufua na wewe kama sijui lol
 
Afu mapishi yenyewe ukute full cholesterol...kwi kwi kwi...kula kutatupeleka kubaya wabongo. Lol.

Nimekuwa natupia macho blogs za mapishi nachoambulia ni vyakula hatarishi tuuu.

Wakwe kitu gani bhana?! kwani unatakiwa kujua kupika kwa faida ya wakwe? ungesema ni kwa faida ya mtu mwenyewe ningekuelewa. tusilazimishe vitu kwa sababu wengine watatuonaje, ndo mana hatuendelei manake tunabaki kufanya vitu ambavyo si lazma sana ili tu watu wasitujaji vibaya. By the way, kupika ni hobby.
 
Ila on a serious note, mwanaume ambae mkewe hajui kupika kabisa ama hapiki kabisa; anakosa mengi! Ni sawa na mwanaume jobless miaka nenda rudi, hamna siku anamsurprise mkewe walau na ka-lamborghini. Chakula changu namuona Paw kinavyomponza, shavu dodo.
 
Ndio mkuu ndo maana mi nilijiopolea mzungu wangu taratiiibu...hakuna cha wakwe sjui watakuonaje...sometimes huwa nakaa kwenye sofa nanyoosha miguu yeye anakarangiza. maisha burdaaani.

pole sana!
 
Kupika ni hobby uzunguni huko, usituletee uzungu wako hapa, Afrika mtoto wa kike kujua kupika ni COMPULSORY, msijaribu kuficha aibu zenu (na wazazi wenu kwa kuwalea VIBAYA bila kuwafundisha kupika) kwa kuleta umagharibi hapa. We kama hujui kupika then u r not a woman to marry, damn it!

Am happily married,We endelea kutoka povu tu hapa, ukitaka meza au tema ukweli ndo huo. African woman...my foot!...
 
huu uafrika wenu wakuwafanya wanawake watumwa wenu ndio sababu mnakufa na pressure kama mkeo hajui kupika si umfundishe ??kwani lazima kujua ina maana ukioa mwanamke hajui kusoma wala kuandika ndio usimfundishe kusoma na kuandika kipi zaidi ya kujua kupika !poor analysisi
We tatizo lako ni kwamba hata kama atajuwa kupika, asipike simply because kwa mtazamo wako huo ni utumwa.....

By the way, ulisema kupika si basic need. My question is, hizo basic needs ni zipi kwenye ndoa....???
 
Posts za hapa zinakuonyesha tu wadada gani wasiojua kipika, na jinsi wengi walivyo wahanga wa hili suala.
Mdada asiependa kuandaa hata chai mm huwa nakua na wasiwasi na usafi wake wa ndani, anakua msafi wa:
1. Kucha; maana zinatengenezwa na vijana wapaka rangi
2. Nyayo; maana zinaoshwa mtaani
3. Nywele; maana zinatengenezwa saloon
4. Mitindo ya kutembea/ kutikisa mwili maana wanaangalia kwenye muvi.
Ila huko ndani hapajawa na watu mtaani wenye biashara ya kusafisha, so nakua na wasi wasi kama mtu unaweza kula pakifungiliwa milango, and this.is from experience

CC
MadameX
[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=85966"]Nivea
[/URL]
 
mambo ya sex hayakuhusu!!!! mfumo dume kufilia mbali utapika na wewe kama sijui nakufua na wewe kama sijui lol
Hayo ya sex si umejitanabahisha mwenyewe ati kugegedwa ugegedewe bado upike?.....sound like you will end up being very lonely if you are not as we speak!
 
Am happily married,We endelea kutoka povu tu hapa, ukitaka meza au tema ukweli ndo huo. African woman...my foot!...

Happily married and you dont cook for your husband, just wait to see those house girls of yours show you ' how things are perfectly done' and what it means to be called a wife. Dont fight with me, I'm just giving my opinion on the issue at hand.
 
binti2013 naomba nikuunge mkono kwa asilimia zote kwani ushauri ulioutoa ni moja ya nguzo kuu ya kuonesha kuwa mwanamke alikotoka anajua kilichomleta hapo kwa mumewe. Kama Nivea MadameX annabranda na wenzao wanafanya hivyo, basi muda si mrefu watarudi hapa kutueleza walichokutana nacho.
Kama kweli usister du ndio huo, nyumba zitavunjika nyingi na ma house girl bado wataendelea kutawala tu.
 
Last edited by a moderator:
Happily married and you dont cook for your husband, just wait to see those house girls of yours show you ' how things are perfectly done' and what it means to be called a wife. Dont fight with me, I'm just giving my opinion on the issue at hand.
.....and they still wonder why men cheat!
 
Back
Top Bottom