Wadada Inawahusu hii

Wadada Inawahusu hii

Hahahaha!
Unakuta kidada kimekomaa(bila aibu) eti Sijui kupika nitaoutsource!
(Mwenyewe wa kiume but najua kupika)
Hebu angalia hizi scenario;
1) Mwanao mdogo husegirl inexperianced na wewe msomi umeshaambiwa na doctor food contents anazotakiwa mwanao na balance yake utaenda kuoutsource?
2) Mwanao mdogo anayechunguzwa afya kwa ukaribu anapikiwa na mtu mwingine? (Seriously?)
3) Mumeo kanogewa na mapishi ya housegirl...unadhani akikudharau kidogo na ukamfukuza mumeo ataaprove(mumpate wapi mwingine mjuzi?)
4) Kwanza housegirl akienda likizo na maisha yetu haya ya mfumuko wa bei ndo tutakula hotelini? Chakula kibaya very expensive na bajeti zetu hizi maisha yanaenda kweli.

Jamani tupunguze ushamba na uzungu feki basi kwa sababu wazungu wenyewe kwao wanapika!
 
Sio hawa wakwetu,pika mpaka uchochee vidole na anaweza hata kukila asikile.
Napikia wanangu tu mie.
Annie...hiyo ni blanket conclusion out of a negative personal experience wangu!Pole sana!
 
Chipsi kuku ni chanzo cha vitumbo kwa wanawake
 
kupika sio common need kwa binadamu kama wewe hujui wengine wanajua waajiri wakupikie ,ujue kila kitu isaidie nini wanaosomea chefs wafanye nini?kha
Haya, kupika hujui unamueleza akale kwa ma-chef... Vipi kaka kugegedana nako hujui, unataka afanye nini..???
 
small stuff wapi wewe?..hii nadhani ni defensive mechanism yako just because hujui kupika!
waulize wanawake wengi humu mijini kama wanapika japo wanajua kupika maisha nayo yawafundishe kugawana rizki !kuzaa uzae wewe,kupika upike wewe,kugegedwa ugegedwe wewe lol,
 
ukiona hivi ujue ni mmoja wa walee wasioweza hata kuchemsha maji ya kuoga, aibu kweli kweli, african girl unable to cook, pathetic!
wajinga ndio huchukulia kupika kwa mwanamke ni issue sana kumbe ni kitu kidogo sana hata kama hujui maisha yanakwenda tu wapo wanaojua watapata rizki,sio lazima ujue kila kitu!pathetic
 
waulize wanawake wengi humu mijini kama wanapika japo wanajua kupika maisha nayo yawafundishe kugawana rizki !kuzaa uzae wewe,kupika upike wewe,kugegedwa ugegedwe wewe lol,

Niveaaa...!Kumbe ishu si kupika tu!Lol!unagegedwa mnagegedana?mbona unaongea kama vile hata sex hufurahii?
 
Wakwe kitu gani bhana?! kwani unatakiwa kujua kupika kwa faida ya wakwe? ungesema ni kwa faida ya mtu mwenyewe ningekuelewa. tusilazimishe vitu kwa sababu wengine watatuonaje, ndo mana hatuendelei manake tunabaki kufanya vitu ambavyo si lazma sana ili tu watu wasitujaji vibaya. By the way, kupika ni hobby.

Kupika ni hobby uzunguni huko, usituletee uzungu wako hapa, Afrika mtoto wa kike kujua kupika ni COMPULSORY, msijaribu kuficha aibu zenu (na wazazi wenu kwa kuwalea VIBAYA bila kuwafundisha kupika) kwa kuleta umagharibi hapa. We kama hujui kupika then u r not a woman to marry, damn it!
 
annabrenda kama kupika ni hobby basi hata usafi ni hobby na heshima ni hobby kama ilivyo urembo pia......ka hapo hapo mama jidanganye but nakuhurumia kama unaona nawewe umeongea point!!!!
 
Back
Top Bottom