Kituko: Diva avalishwa pete ya uchumba baada ya kufunga ndoa, Yasemekana ameposwa kwa laki mbili

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,067
Wanasema ukistaajabu ya Uwoya kuwa billionaire ikiwa hajulikani anafanya shughuli gani basi utayaona ya Diva kuolewa kwanza halafu ndio kuja kuvalishwa pete na kuposwa!

Mtangazaji Diva jana amevishwa pete ya uchumba na kijana anaye jiita Sheikh na kutangaza uchumba rasmi na Sheikh huyo na ikisemekana posa ya Diva haijazidi shillingi laki mbili!

Diva alitoa taarifa ya kuolewa siku ya wapenda nao na akisema yeye ni mke wa mtu rasmi lakini cha kushangaza jana ilibidi avishwe pete ya uchumba na kutolewa posa ya Tsh laki mbili badala ya million 500 aliyowai kuhitaja kama mahali!

Kwa upande mwingine Sheikh anasema kuwa mahusiano yake na Diva yana wiki mbili hadi sasa ....

Hata hivyo baada ya kuvishwa pete ya uchumba Diva aliweka wazi kuwa baada ya kufurushwa Clouds Media alipitia kipindi kigumu sana na aliyemuokoa kwenye hali ile ilikuwa Msanii Diamond Platinumz na kumpa ajira ya kutangaza hivyo yeye anamuona Diamond ni “mungu” maana wengine walimuacha ateseke lakini yeye alimshika mkono.

“ Diamond kwangu ni mungu”- alisema Diva

1645514778182.png
 
Original East ameshamwaga mboga huko, hakuna ndoa pale, jamaa ni mganga na wengi wa wateja wake ni wanawake. Huwa anawapa dawa wanalewa na anawaingingili bila ridhaa zao.

Hii ndrama ya ndoa ni jamaa kujitakasa mbele ya jamii.
Hiyo ni kweli kabsa na victim wake ni mijianamke ya mjini yenye pesa yasiyojielewa.Yanaenda kwake wanapata hizo tiba fekero na kulalwa juu.Kweli wanawake sie mwalimu wetu kipofu.
 
Back
Top Bottom