Wadada: Huu ni bonge la ushamba

Sio tuu ushamba bali ni dhambi cz kuna watu hata mlo mmoja hawajui kama watapata kila inapoitwa leo.
 
Daah nmemkumbuka singo maza wangu,huyu bibie tukitoka kikibak chakula anafunga tunarud nacho kwangu halaf kesho yake asubuh nagonga kiporo,kama ni kitimoto au kuku bas anasonga ugal,hahahah,.

Raha sana kupata dem anaejielewa,.ila ndo hvo tumepoteana nw mwez na siku kadhaa ,tulizinguana
 
Mtu yeyote anaejua maisha hawezi kuacha chakula kingi hivyo. Hata kama siend kula nabeba sitakosa wa kumpa.
 
Kabisaaa,hii ni kufuru na laana mbaya..MTU mzima mwenye akili timamu hawezi Fanya hivi kuna wenye njaa wangapi mitaani jamani eeh,ukiwapelekea hata hicho kidogo si watakushukuru,..daah,!!!,,.,
 
Wanakushukuru na kukuombea juu. Sema ni utoto tu. Kuna watu hawapendi kuonekana wanakula sana wakiwa na bf zao. Kumbe wangejua bf wenyewe hawataki huo ujinga
 
shenzyyy taipp zao...mbona kwenye kunjunjana hawafanyi robo robo,.chakula ndio wakionee aibu mfyuuu chefuuu[emoji57] [emoji57]
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****
Mwe mwe mwe mwee khaa!!
 
uzungu mwingi sasa nenda nae room avue chupi uone huo uvundo huko chini..unakuta mitako imepauka na hapo mbele msitu sio msitu.ukikuta kanyoa unakuta sura ya K upo kama pua ya mbwa..
*****

Hahahaha
 
Halafu pia ni dhambi kwa Mungu

Kuna watu wanakosa hata chai ya asubuhi tu sembuse mlo japo mmoja.
 
Unakuta dem mwenyew mbaya tu umeamua kumfanyia favour skuiyo unamchukua kwenye Vitz yamo unamtoa unampeleka KFC ili nae akale ajiskie skuiyo afu anaenda anaagiza korokocho la maana afu anavunga kula kama ivo dem mwenyewe ukimuangalia ziwaziwa na chura hana, mfyuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…