Kwa hiyo
Boflo anatununulia vigauni vya laki 3 afu kuna mchaga anakamua maziwa? Siamini aisee?
Hehehe mie mwenyewe najiogopa hapa. Kuna siku ntashonwa mdomo na sha8-. Unajua shazia wewe?[/QUOTE
Boflo mshika pembe tu!
mchaga ndo anakamua unido banaaa!
sasa mbn we unavaa gauni zake za laki 3 na sio
Paw wako!
chezeeeeeeya booooooooonge la mwanaume
Boflo wewe!
ahahahha usinikumbushe shazia!
na sipati picha ushonewe na gunia lake!