Wadada haya si ndo mnayoyataka?

vitakuwepo ndani ya hayo niliyoyataja
Wenzako wanaweka mgegedo separate..Otherwise utapa ambae atakupa hivyo vitatu then hicho kimoja ukakikosa au ukakipata usiridhike. So nakushauri kiwekee section yake
 
We Valentina unanitafuta ubaya tu,mwanamke nimhudumie yote hayo sawa ila na ye kama na Gap anisaidie sio kupeleka kwao tu,kuhusu 6x6 hata mwanamke nae anatakiwa anikune tatizo lenu wanawake jukumu hili huwa mnatuachia sisi wanaume tu.......unakuta amekaa tu kifo cha mende hata kukukuruka kidogo hamna!!
 
Hapo sasa umeongea kama Obama saba pamoja. Kweli kabisa take 5
 


All the best.
 
hata ufanyeje hawa ndugu huwa hawaeleweki kwa muda ataridhika ila with time atamiss ujinga mwingie ambao huna
 
kuna wale malaya wa kutithi.....binadamu anaridhika kwa kubadili beliefs zake tu khs swala husika na ndo mana kuna wanawake wanapewa kila kitu lkn vicheche na wanawake wanakosa kila kitu lkn sio vicheche
 
Mkuu uko wapi nikutafute, unaonekana unajua kujali sana aiseee. Nikimpata wa hivi nahisi ntanenepa kbs.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…